Habari za humu wana jamvi, mimi ni mzazi wa watoto sita waliozaliwa mara tatu, yaani pacha tatu.
Kuepuka kuleta ya nne niliweka kitanzi, kwa muda sasa nimekua nasikia maumivu makali, ikabidi niende ka Dr wa wanawake kujieleza, alirecomend x-ray, nikapiga ndio wakaona kitanzi kipo kwenye kizazi.
Aliniambia kukitoa mpaka operation, sasa nauliza hakuna njia mbadala?
Naomba msaada!