Maisha yanayotuzunguka yana mambo mengi sana, chuki, wivu, furaha, inda na mengi yanayofanana na hayo. wakati wewe unafanya kilicho halali wenzako wanafanya kilicho haramu, wewe ukinunua wenzako wanaiba ilimradi tu dunia ni kama tambala bovu.
wapo wasiopenda uishi kwa raha na wapo wanaokuombea maisha mema.
Binadamu tuna mambo mengi... kutana na msichana Yaumi uone shida alizopata kutokana na furaha ya watu wengine, Yaumi anaingia kwenye mzozo na watu asiowajua wala kujua... anataka kulipa kisasi kwa nini? twende pamoja....
TRAILER...
TAG WATU WA KUTOSHA ILI TUENDELEE NA BONGE LA STORY
Huu ni utoto na kuelemesha mtandao kusikokuwa na sababu za msingi, kama huna la maana kuandika ni bora kuacha kabisah na siyo kufungua uzi kisha reply ya kwanza unajijibu mwenyewe kwa kutag watu! #HovyoKabisa#