Dada yangu hapo hakuna cha msalie mtume......mpige buti huyo mzinzi mkubwa kuna watu kibao tuko single hatuna tabia za namna hiyo(Pm me pls)Wana JF, uamuzi ninaoona unafaa ni kumtaliki, kwa sababu amekuwa akinidangaya kwa kisingizio kuwa eti ana presha!
Pole sana dada. lakini naomba huyo mmeo mwone kama mwovu ila wa siku hiyo. Msamehe nadhani ni fundisho hawezi kurudia tena , fikiria katika maisha yako umewakoesa wangapi lakini wakasamehe. nijuavyo hakuna binadamu mkamilifu, ingawa lake hili ni zito kuchafua kitanda.]ILA UKIMSAMEHE ATAKUHESHIMU MAISHA[
CHONDE CHONDE RUDISHA MOYO
mutezi
Ndugu usiangaike na kumwacha mweleweshe dhambi yake na atubu tena kwa dhati...mpende tena mweshimika!
Hebrews 13:4 *Marriage is honourable in all, and the bed undefiled: but whoremongers and adulterers God will judge.