Kitanda na godoro vinauzwa

Kitanda na godoro vinauzwa

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
Kitanda chenye size 5*6
Mbao za mtondoo
Muundo wa box/hakina nafasi ya kuingia uvunguni.

Godoro 5*6
QFL-Dodoma
Unene ni inches 8.

Vipo Pugu kajiungeni Dar es Salaam.
Bei 320,000TZS.( kuna mazungumzo).
Vitu vimetumika tangu October 2014.
Sababu ya kuuza: Mwenye navyo amehama mkoa hivyo hataweza kuvisafirisha kwenda mkoa maana ni mbali sana.

Mawasiliano: PM au
Simu: 0758 777 552
0682 814 032
mathayowambura@gmail.com

Karibuni serious people only
 
lete lk 2 Aondoke!
 
Weka basi hata picha tuone ubora wake

Picha simu yangu haina uwezo, but trust me vitu vyote bado vizima kabisa, kama una imani karibu uvione kama huamini sio mbaya mkuu unaweza kwenda kununua vipya.
 
Niijuavyo jf wahiihiyo 270 wakiwawengi wanarudi 150,000 fanyamaaumzimagumu afike
 
Picha simu yangu haina uwezo, but trust me vitu vyote bado vizima kabisa, kama una imani karibu uvione kama huamini sio mbaya mkuu unaweza kwenda kununua vipya.
Ukarimu nimuhimu kwenye uhitaji,,,ameulizapicha umejibu hunakipigio...unaposema akanunuekwingine nahisinamimi ntapewajibujibuhilihili
 
Niijuavyo jf wahiihiyo 270 wakiwawengi wanarudi 150,000 fanyamaaumzimagumu afike

Hapana mkuu 270,000 iko mbali sana, hivi vitu vinauzwa kwa bei ya 300,000 kwa sababu ni emergency mtu anahama, otherwise hata vikikaa pale sio mbaya atapata option ya kusafirisha maana viko expensive ndugu.
 
Jamni jf boflo hilolinaondokafasta msijesema amnabahati,,MKUU bykeshomchana naonamtu anakulrtea cash weka imani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom