Kitanda (5x6) na godoro (Dodoma QFL) vinauzwa

Kitanda (5x6) na godoro (Dodoma QFL) vinauzwa

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
919
Reaction score
599
Habari wakuu.

Kitanda cha futi 5x6 (mbao ya mninga) pamoja na godoro lake (Dodoma QFL) vinauzwa kwa pamoja. Bei: 220,000/=. Mawasiliano: 0755 831576
bed tbt.jpg
bed tbt2.jpg
 
Attachments

  • bed tbt.jpg
    bed tbt.jpg
    39.8 KB · Views: 29
  • bed tbt2.jpg
    bed tbt2.jpg
    39.8 KB · Views: 34
Umegongea weeee mpk kimechakaa ndio unataka kutuuzia sisi tukabwe na majinamizi usiku. Kakigawe

Mbona nguo za mtumba kutoka ulaya (kwa washenzi) unavaa na wala hulalamiki kwamba zinatoa harafu ya jasho la mabeberu !!!🤣--- ajabu mswahili mwenzako anakuuzia kitanda unadai eti "kakigongea" na kimechoka ndipo anakiuza, kwani wewe umethibitishaje na hata kama ni kweli wewe linakuhusuje???!!🤣
 
Wabongo bwana, ukiambiwa ukweli aliyekwambia unamfokea. Halafu mie zivai mitumba nchi niliyopo nguo tunavaa mpya tu mitumba mnavaa nyie. All in all hicho kitanda kama unauza ili ununue kingine cha kisasa, nakushauri uki-upgrade tu hicho hicho mafundi wakaongeza vionjo vipya vya kisasa ukawa na bed kali tu inayoenda na wakati. Hiyo mbao ni hardwood usiipoteze, kibadilishe tu muone fundi mkali anakurekebeshia
 
Hapana. Hakikufanyiwa jambo lolote
Alikuwa analalia padri wa katoliki? Halafu umejibu kiungwana sana inaonekana umesoma marketing na ukaielewa. Ningekuwa Bongo ningekinunua kukuungisha tu kutokana na ustaarabu wako
 
Alikuwa analalia padri wa katoliki? Halafu umejibu kiungwana sana inaonekana umesoma marketing na ukaielewa. Ningekuwa Bongo ningekinunua kukuungisha tu kutokana na ustaarabu wako
Mapadri wa Katoliki wanatafunaga nyapu za masista kama kawa. Nenda kaulize chanzo cha Padri Dastan kuhamishwa pale Ngokolo Shinyanga kwenda Misungwi Mwanza.
 
Back
Top Bottom