Kitanda cha wachumba

Kitanda cha wachumba

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
bed.jpg

Kitanda kwa ajili ya wachumba. mdada anlala juu men analala chini no kugegedana.
 
Nani kasema no kugegedana we!!!yani bluetooth zitajiwasha otomatic tu
 
Mateka asante sana kwa kunipa sample nzuri ya kitanda cha wanangu, nimefurahi sana najua nikipeleka kwa fundi wanguatanichongea hivyo hivyo.
leta vingine tuone.
 
Patamu kwa kutaniani kana vile nitashuka/nitapanda na ukijibiwa njoo kama wewe mwanaume sikilizia kitakachofuata.....
 
hakuna kitu hapo kabla ya kulala watatafutana tena mkaka akiona paja au kifua ndo bac tena
 
Back
Top Bottom