Tatizo hivyo vitanda vinabima huko waliko wanaojifa waonahaki miliki ya dunia hii, hivyo bongo havifaa mpaka makampuni ya uhakika ya bima ya vitanda,viatu,suruali, mikanda, waleti, saa, mademu, hengachifu, pete, cheni na mikogo yote ya kisharouharo.
unalalia kitanda unapata shida tupu mara unaota unafukuzwa na Simba au unatumbukia kwenye shimo refu.......lakini kitanda kizuri unaota unatalii Dunia mzima kwa ndege.................aaaaah Umasikini we acha tu una tabu sana...........
Haya bwana, hizi huwa zinakuja kila mwaka kwa ajili ya ikulu ya magogoni, huwa natilia shaka ubora wake kama ni bora kwa nini tununue kila mwaka......ila vikiwa ndani vinapendeza saaana!!