Kitanda 6 x 6, Why m'banane??

Mwambie amchunguze inawezekana huyo mwanamke anaogopa usiku, kama sivyo mwambie aache ushamba kumbato muhimu, haya ndo madhara ya kutokwenda jando/unyago,vijana dumisheni mila uzungu usiwatawale.
 

hivi wanaume hawana kitchen party?
 
Atakua ampumbulize vizuri huyo!! mwambie ampige ubo kila akimsogelea hata kama ni kila siku, utaona mwenyewe anajidai anaangalia tamthilia sebleni kumbe anakuviza ulale!!
 
nimeshamwambia akamwambie rafikie akue zaidi kindoa!akiwa kweli ni mwanaume anayejitambua uanamume wake u wapi atajirekebisha!
 
Atengeneze kitanda kingine special kwa kazi special then baadaye wakimaliza kazi special wakae kwa muda special ili wapate faragha then jasho likiisha warudi kitanda chao cha 6 kwa 6. ke ni sawa na moto wa karatasi while men ni kama moto wa magunzi.
 
Hii ishu inakuhusu,,kwanini usifunguke tu kwamba na wewe?

Kwanza unatumia jina feki, sa unaogopa nini?
Sio mimi kaka!!
Mi nawakilisha tu.

Wajua jamaa alifunguka sana mpaka nikamuonea huruma. Eti akirudi kazini amechoka basi anataka alale kwa kujiachia, sio kubanana banana.

Alidai yeye hupenda social-forums (but sina hakika kama ni member humu JF), na ndio anatafutiaga usingizi humo. Sasa sometimes anataka awe free ku-browse but wife wake anang'ang'ania wageukiane na wakumbatiane.

Kiasi nilimuelewa, hasa hilo la kuchart mitandaoni, maana baadhi ya simu zapendeza zaidi ukitumia kwa mikono miwili huku umeangalia juu.
 

ukisikia mapenzi ya BLUETOOTH ndo hayo unayoyataka wewe jamaa.kha kha kha
 
Huyu jamaa anabahati sana,yani daily wife anakung'ang'ania then unacomplain!
 
Si wawe na vitanda tofauti chumbani kwao?ya nini kubanana?mi siungi mkono hoja ya kuvumilia eti ndio mapenzi,kila m2 anatakiwa kupata proper sleep,
 
Si wawe na vitanda tofauti chumbani kwao?ya nini kubanana?mi siungi mkono hoja ya kuvumilia eti ndio mapenzi,kila m2 anatakiwa kupata proper sleep,
Excellent!!
 
we mwanaume hakiosi wewe ni tasa nini? au hujuwi raha ya kukumbatiwa acha ushamba umekuwa:msela:
 
We Kongosho wewe!!!!
Mi naona mwanamke huwa hajatosheka, hebu ampe bundesliga ya uhakika aone kama atamganda, thubutu! chezea bundesliga wewe

Huwa anataka amwamngushie uvunguni mmewe
 
me luv u Ashadii... oh no.., luv your comments sanaaaaa. nadhani amekusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…