kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Mkuu nimepanda mia na kumi ni pm
SawaPicha za kikiwa kimefungwa ni vema zaidi
Mkuu ni kweli itakula kwako,lkn hata mimi ukinipa Mia itakula kwangu.Nadhani hakuna jinsi nyingine.Mkuu nitaji sana ila nikichanganya na usafiri wa mpaka kigamboni itanila Kwenye mia mbili mkuu chukua mia
Chukua mia nije kesho
150,000 itapendezaMkuu nimepanda mia na kumi ni pm
Ha ha ha ha wengine tupo tupoNaona Safari ya kuhamia Dodoma imekwiva!