Kitambue chombo VOYAGER 1

Mkuu nawezaje kupata deep network
 
Apana kaka apa Naanza kuona kuwa una hoja za msingi kabisa ngoja niendelee kukufatilia baada ya muda na mimi natoa mrejesho wangu lakini naziona hoja zako za msingi kabisa zenjbar big up kaka endelea ivyo ivyo kuifungua akili yako
 
Hongera na mimi imefungua akili yangu
 
miili yetu na hisia ni sensitive sana ku-detect motion hata iwe ndogo sana lakini tumefunzwa tusiamini hisia zetu,
Yaani unaamini miili yetu ina hisia sensitive lakini huamini kana dunia ni duara?

Prove miili yetu ina hisia sensitive.

Na unatumia Google map sasa niambia ile Google map inafanya vipi kazi...?
 
Yaani unaamini miili yetu ina hisia sensitive lakini huamini kana dunia ni duara?

Prove miili yetu ina hisia sensitive.

Na unatumia Google map sasa niambia ile Google map inafanya vipi kazi...?

huu uzi wa zamani kidogo,uzi huu nilielezea mambo mengi sana jaribu kupitia comments zangu zote pengine utapata baadhi ya majibu unayouliza
 
huu uzi wa zamani kidogo,uzi huu nilielezea mambo mengi sana jaribu kupitia comments zangu zote pengine utapata baadhi ya majibu unayouliza
Nadhani umejishtukia kwamba ulikuwa hauko sahihi now najua huwezi kujibu maswali yangu kwa mitazamo yako sababu haina uhusiano na uhalisia.
 
Nadhani umejishtukia kwamba ulikuwa hauko sahihi now najua huwezi kujibu maswali yangu kwa mitazamo yako sababu haina uhusiano na uhalisia.
Mambo nimeeleza mengi sana kwenye huu uzi ungezipitia comments zangu tu, lakini kama ipo haja ya kufafanua swali lako sawa,ni hivi miili ya wanadamu ina mfumo wa survival mode, survival mode hii imejengeka kwenye mfumo wa hisia, tuna hisia ambazo ni sensitive sana,ukiwa kwenye kitu chochite ambacho kina motion ya aina yeyote lazima utahisi hio motion,hata iwe ndogo sana, na mengine kama Harufu,macho na vitu kama hivyo.
Kwa hio tukisema dunia inazunguka kwa speed za ajabu sana na hatuwezi kuzihisi au kuona ishara zake popote hii kwangu haingii akilini hata kidogo
 
Aisee kinafanya kazi Kama tundu Lissu wallahhhhh
 
Uvccmccvcv
 
ZENJIBARIA MKUU ADA YA BABA YAKO ULIITUMIA KIHALALI BILA KUJALI UYASEMAYO NI KWELI AU LA.JAPO NIPO NA WEWE KWA ASILIMIA 80 NA ZAIDI.DUNIA HAIJAWAHI KUZUNGUKA.
HATA MIMI NISIWE MNAFKI JAMAA NI GENIUS SANA.
HATA KAMA ALIYAONGEA HAYANA UHAKIKA ILA ANGALAU AMEWEZA KUCHALLENGE VITU TULIVYOKARIRISHWA NA WAZUNGU.
HONGERA ZAKE
 
Mimi naomba nikuulize swali dogo sana nimalize ubishi. Kama Dunia ni Flat na wewe sasa hivi umesimama Ubungo na unataka kuelekea upande wa South tu kwa ndege yako, Je? Mwisho wa safari hiyo utaishia wapi? Utaenda milele na milele huko Kusini?
Theory ya dunia duara inasema wazi, ukienda upande mmoja tu wa dunia bila kupinda basi mwisho utajikuwa upo palepale ulipoanzia maana unakuwa unazunguka kwenye duara.
Nipe jibu mkuu labda na mimi naweza kukuelewa
 
Duuh,bado una kazi sana ya kusafisha ubongo wako.Biblia yenyewe ina kiri kuwa Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana,inakiri kuwa aliumba mianga hapa kwenye mianga pana siri kubwa science ndio inajaribu kutufumbulia hizo siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ