Madini ya uranium yanazalisha vp umeme kwenye hiko chombo?Kifaa hiki kinatumia madini ya uranium kujizalishia umeme ili kiweze kujiendesha na itakapofika mwaka 2020 madini hayo yanatarajiwa kuisha hivyo kitastop na itakuwa ndo mwisho wake wa kufanya kazi!
HAIL TO FLAT EARTH SOCIETYhakuna voyager wala hakuna space exploration hizi zote ni propanganda za uongo mtupu,yote haya ni makatuni ya kuchora,picha zote za space sio za kweli na picha za dunia zote zilizo online zote ni uongo mtupu zote za kuchora hakuna picha ya dunia iliyo kweli,tunavyosomeshwa ni propaganda tu hali halisi ya dunia ilivyo haijasemwa ndio maana tunaaminishwa hizi fantasy
Unajua mkuu ukijaribu kiwaeleza wa2 kuwa dunia ni flat na consept nyengine za flat earth sorciety hawatakuelewa tena na elimu yetu hii ya bongo utapingwa 2 binafsi mm nkubaliana na ww 100% na ni mfuatiliaji mkubwa wa flat earthkuna mambo mengi sana ya kuangalia ambayo yatakuonesha kuwa elimu yote ya space na uhalisi wa dunia ilivyo ni uongo
- wanasema dunia ipo duara kama chungwa lakini ndege zikiruka hazizunguki chungwa zinafika angani zinaweka cruising speed na zinakwenda straight hazilazi pua chini au juu kulizunguka chungwa ambayo ndio shepu ya dunia
-wanasema dunia ni shape ya chungwa kwa hio kila pahala patakuwa na mpindo ili kupara shepu ya chungwa kwa maana hio ukiwa dar zanzibar huwezi kuiona popote kwa maana itakuwa upande wa pili wa mpindo wa dunia na hii zipo formula zake ambayo kwa masafa ya dar to znz ni kama 44km mpindo wa maji ulikuwa uwe kama ulikuwa uwe atleast 60m
-pia hivi majuzi wamesema wanajiandaa ili waweze kutoka kwenye low-earth orbit na waweze kupeleka watu outer sapce wakati mwanzo wamesema washapeleka watu kwenye mwezi ambayo upo beyond low earth orbit.
-sifa moja kuu ya maji popote yalipo ni lazima yawe level,maji hayawezi kupinda kufanya duara,kwa hio hilo duara la dunia maji yanapinda vipi kuweka shepu ya duara,maji ni lazima yatafute level kwa namna yeyote ile,
gravity ni uzushi ,kama gravity ndio inayozuia vitu hapa duniani iweje ndege iliyo ndogo na nyepesi iweze kuishinda gravity na iruke wakati bahari iliyo kubwa sana nzito kuliko kitu chochote hapa duniani isiweze kuishinda gravity'
au kwanini gravity iruhusu mabofu yende ngani wakati vitu vizito zaidi vipeshikwa na gravity
ki uhalisia hakuna aliyewahi kufika mwezini na mwezi haupo na ardhi kama ilivyo hapa duniani,sayari zote picha tunazoziona online sio halisi ni michoro tu, picha halisi hazipo clear kama wanavyoonesha hio michoro
mambo ni mengi sana ntarudia tena mengine
Ww ndio KIAZI tena mbatata kwakuwa hata kwa consept chache 2 naeza kukufungapale unapomwambia ustadhi peleka mtoto shule badala ya madrasaa
Huu ulishawahi kuwa uzi ila sidhani kama kuna waliousoma na hata kama wamwusomani kweli upeo wa macho yetu kwa wingi tunaweza kuona radius ya 5 mile kwa hio si rahisi ku-notice curve na ile kusema unaona boti na mlingoti inapotea machoni ile sio curvature ni uwezo wa kuona kwako unamalizika tu na sio kama boti inazamia kwenye mpindo wa dunia,
lakini kupima curvature kuna formula yake ya ambayo ni Pythagorean theory hii inasema hivi kuwa kila 1x8in.sq mile
kwa mfano:
2 mile distance
2x2x8= 32
32/12=2.66ft
huu ni mfano wa 2 mile ambao kwa fumula yao kila 2 mile kunakuwa na 2.66ft ya curvature na hio inazidi kila masafa yakizidi 4miles inakuwa na 5.32ft and so on
saivi kuna binoculars au telescope za kuona masafa ya mbali sana watu wanaona mpaka 200 miles away kama bahari ipo shwari na maeneo yaliyo juu kidogo,jambo ambalo kama dunia ni duara huwezi kuona kutokana na mpindo wa dunia
GOOD FACT INDEED NIMEGAIN KI2 KINGINEvan allen belt ni ukanda wa magnetic field ambao upo juu umeizunguka dunia kwa maelezo yao, inaitwa belt kwa sifa hio ya ukanda uliozunguka dunia,
na kuhusu tafautiana time ya sehemu moja na nyengine hii ni subject yake peke yake ili uweze kuifahamu, cha kwanza kuelewa ni time ni nini hasa,whats is time exactly? time inasababishwa na nini,
kwa mitazamo yetu ya haraka tunapima time kwa kutumia jua linapochomoza na kutua na vile vile kisasa tunatumia saa
lakini jua linazama vipi na linachomoza vipi wakati dunia sio duara,wakati ikiwa hatulioni unapokuja usiku jua linakwenda wapi,hii kwanza tufahamu kuzama na kuchomoza kwa jua katika kila eneo,manake kila eneo lina time zake za kuzama na kuchomoza kwa jua.
kujua jua linachomoza vipi pasipokuwa na duara la dunia ni lazima ufahamu law of perspective, uwezo wetu wa kuona yaani vipi macho yetu yanaona
itazame hii picha ya chini hapo ichukulie wewe umesimama hapo mwanzo wa picha kisha unaangalia mwisho wa hii koridoo
kama utachunguza utaona sakafu inapanda na dari inashuka na kuta za pembeni zinajikunja kuja katu kadri ya koridoo inavozidi,mwisho wa koridoo hii kunakuwa kudogo sana yaani kumejikunja na hapa mwanzo pako kama kawaida,ki uhalisia hii koridoo iko sawa kuanzia mwanzo hapa mpaka mwsho kule yote ipo sawa lakini macho yetu ndio yanaona namna hii mwisho wa upeo wako kunakua kudogo mpaka kunatoweka kabisa
ichukulie hizo taa za juu hapo kama ndio jua linasafiri angani kwa namna unavyoliona wewe na macho yako,jua litakwenda mpaka mwisho wa upeo wako kwa hapa litazame linavyoshuka kuifata koridoo jua litaonekana kama linazama lakini kiuhalisia halizami ila linatoweka kwenye upeo wa macho yako tu kama huo mfano wa taa na hii koridoo,hivi ndio tunavyoona jua linazama au kuchomoza na tukazani linakwenda chini ya duara la dunia lakini uhalisi ni kuwa linazunguka juu ya uso wa dunia na sio kwenda chini
View attachment 462172
mzunguko huu wa jua juu ya uso wa dunia ndio unaosababisha time za kila maeneo kuwa tafauti baina ya maeneo kwa vile linapotoweka kwenye eneo letu tunapata magharibi na usiku kuingia na jua linaanza kuonekana kwenye maeneo mengine na hapo ndio wanapata alfajiri yao na mchana kenedelea kwa muangaza wa jua
Inavyoonekana hautaki kuelewa ila kubishaha ha! et kila kitu kinachohusu space sio kweli!๐ฑ
hata hayo unayonambia basi sio kweli na ningumu kukuamini maana huna vithibitisho,kila kitu kinachohusu space sio kweli ulishawahi toka nje ya dunia ukathibitisha hilo..?
kwahiyo hata nyota tunaona maruerue tu mwezi nao maruerue tu,naona tumepagawa na kupata ugonjwa wa macho dunia nzima!
We jamaa unaakili sana mm nimekuelewa vilivyo. Ata mm huwa nafikili hivyo hivyo, unakuta mtu anakudanganya kweupe kabisa ety mtu alifika mwezini uongo mtupu.hakuna voyager wala hakuna space exploration hizi zote ni propanganda za uongo mtupu,yote haya ni makatuni ya kuchora,picha zote za space sio za kweli na picha za dunia zote zilizo online zote ni uongo mtupu zote za kuchora hakuna picha ya dunia iliyo kweli,tunavyosomeshwa ni propaganda tu hali halisi ya dunia ilivyo haijasemwa ndio maana tunaaminishwa hizi fantasy
mkuu uranium inatoa heat/joto and then wanachange hilo joto ktk mfumo wa umeme ni kama solar.. ila kwenye hicho chombo voyager 1 sijui kuna process ipi lkn nafikiri ni kama hiiMadini ya uranium yanazalisha vp umeme kwenye hiko chombo?
Unaijua international space station?nimefikia viwango vizuri vya shule na madrassa pia ila fanya utafiti kidogo utajinea mwenyewe
kama unakwenda shule uliza maswali haya
proof of gravity
proof of earth spinning(usiku na mchana sio proof) ulizia kama kuna aina ya kipimo kilowahi kuthibitisha spin
proof sun is 93mil miles
ni wapi imewahi kutokea maji yakawa na mpindo(yaani ukitia maji kama kwenye glass yakawa na uvimbe wa juu kuonesha mpindo
maswali yapo mengi ulizia hayo tu kwanza
Hii ni ngumu kumeza unafanya kama solar?mkuu uranium inatoa heat/joto and then wanachange hilo joto ktk mfumo wa umeme ni kama solar.. ila kwenye hicho chombo voyager 1 sijui kuna process ipi lkn nafikiri ni kama hii
nasema inaprocess kama solar i mean solar ina change heat kuform umeme so wanatumia uranium kuproduce heat and then ina be changed kuwa umeme..Hii ni ngumu kumeza unafanya kama solar?
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia panapotokea heat kunazalishwa magnetic field?nasema inaprocess kama solar i mean solar ina change heat kuform umeme so wanatumia uranium kuproduce heat and then ina be changed kuwa umeme..
uranium kipande kidogo tu kinauwezo mkubwa wa kuzalisha/kuwaka bila kuisha kwa muda mrefu kama sikosei one ton of uranium inazalisha 40 million watt ya umeme
najua kama Thermoelectric generator - Wikipedia ndio hutumika pindi hizo probe zinapokuwa mbali na mwanga wa jua lakini namna ambavyo uranium inavyotumika kuzalisha umeme siyo kwa namna ambayo umelezea wewe na si rahisi kutumika kwenye hizo space probe.hili sifahamu
nafikiri hapa ndipo tumechengana polonium ni zalisho la uranium ambapo hiyo plutonium ndio hutumika kwenye hizo probe hicho kifaa ndo kinachange hiyo heat inayozalisha na plutonium kuwa umemenajua kama Thermoelectric generator - Wikipedia ndio hutumika pindi hizo probe zinapokuwa mbali na mwanga wa jua lakini namna ambavyo uranium inavyotumika kuzalisha umeme siyo kwa namna ambayo umelezea wewe na si rahisi kutumika kwenye hizo space probe.
Ok nilitaraji uniambie namna hii na futa idea kwamba hiko chombo kinafanya kazi kama solar mechanism inayotumika hapo ni seebeck effects.nafikiri hapa ndipo tumechengana polonium ni zalisho la uranium ambapo hiyo plutonium ndio hutumika kwenye hizo probe hicho kifaa ndo kinachange hiyo heat inayozalisha na plutonium kuwa umeme