Kitambue chombo VOYAGER 1

Hahahaha hakika kila jambo huwa na pande mbili, sasa ukituangukia upande wa hekaheka sijui tu, maana najaribu kutafakali kitoto nakosa majibu.
 
Kawaulize marubani umbo la mawingu huwa duara au tambarare?
 
Nina wasiwasi na maelezo yako.
Inamaana hao binadamu wa Amerika, wale wa kwanza kufika mwezini miaka ya 68 akina Armstrong ni uzushi?. Tuanze na hilo kwanza.
Tuwekee proof zako kuhusu uzushi huo na kwanini uongo udumu miaka nendarudi hadi ulipokuja kutokeza wewe jf?. Embu tuhakikishie huo unaodai wewe kuwa ni uongo.
 
Ule msemo wa kiingereza kuwa "whats goes up must come down"kwenye space haufanyi kazi.
 
Dalili zinaonyesha tumeshatembelewa mara kadha na viumbe hivyo na vinauwezo wa kutuingia ndani ya miili yetu na kutucontrol bila ya sisi kujua.
ni aina gani ya viumbe hao..? kama vinaingia na bila sisi kutokujua tumejuaje..?
 
ni aina gani ya viumbe hao..? kama vinaingia na bila sisi kutokujua tumejuaje..?
Mkuu hujawahi kukaa peke yako chumbani kwako halafu hisia zako zinakuambia unaangaliwa.
 
Mkuu hujawahi kukaa peke yako chumbani kwako halafu hisia zako zinakuambia unaangaliwa.
ha ha! inamaana hisia zikikuambia ndo kweli..?
mkuu kuhisi nikuhisi tu unaweza hisi nje kuna gari lkn haipo.
hizo ni idea zinazotengenezwa na ubongo unafeel like but not true!

na kuhusu alien binafsi sifahamu nipo 50/50 sijawahi ona uthibitisho kamili wa hawa jamaa,naona ni kama mbwembwe tu!
 
ha ha! inamaana hisia zikikuambia ndo kweli..?
mkuu kuhisi nikuhisi tu unaweza hisi nje kuna gari lkn haipo.
hizo ni idea zinazotengenezwa na ubongo unafeel like but not true!
Mimi pia nilikuwa nafikiri hivyo,lakini kuna siku nilikuwa nadrive peke yangu usiku kutoka sikonge kwenda mpanda niliona vitu kadhaa au viumbe kadhaa vikiwa vina ng'aa vikatokomea porini, mkuu unajua nchi yetu watu wengi wana imani za uchawi hata pale extra terrestrial beings wanapotutembelea au kutuingia kwenye miili yetu watu wanasema aah ni mapepo tu.
 
hapo kuna walakini wala sio udhihirisho ya kwamba ndio au sio..
huenda ndio uliona viumbe wapya tofauti na wa hapa duniani lkn huna uhakika.
swala zima la alien limezungumziwa sana lkn mbona mashirika makubwa ya kisayansi hayajishughulishi nayo wakatuletea ukweli wenye uthibitisho..? hapa panaleta ukakasi kwangu kwelikweli.

UFO hata mimi nilishawahi kuiona mpk leo sitambui ni nini.. ngoja nikutagi kwenye huo uzi
 
Sasa inatubidi na sisi waafrika tufanye uchunguzi wetu.
 
Sasa inatubidi na sisi waafrika tufanye uchunguzi wetu.
itakuwa vyema ila tuna safari ndefu..

halafu mkuu kumbuka unaweza ona mchele lkn kumbe ni mchele bandia! hapo ndipo napooanaga nguvu ya tafiti ya kweli,huja na majibu ya kweli pasi kuwa na utata huku wahusika wakuu waki 5 sense organ.
 
Mkuu kama dunia ni ndogo kuliko jua kwanini baadhi ya maeneo kuna barafu? Kama dunia ni duara kwanini ndege zinaruka kwa nyuzi hazitoki nje ya atmosphere? Kama dunia inazunguka jua kwanini nyota za angani wakati wa usiku hazimove? Kama kuna sayari nyingine kwanini hatuoni hata nyota ikimove.
 
itakuwa vyema ila tuna safari ndefu..

halafu mkuu kumbuka unaweza ona mchele lkn kumbe ni mchele bandia! hapo ndipo napooanaga nguvu ya tafiti ya kweli,huja na majibu ya kweli pasi kuwa na utata huku wahusika wakuu waki 5 sense organ.
"We're not alone" trust me kenzy sema tu tuko bussy na mkate wetu wa siku ila huu uwanja ni mpana sana je kuna uwezekano wa kuanzisha jumuiya yetu kuhusu swala hili ili tuwe tunakutana once a month.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…