Kitambo sana you know!

Mimi nakumbuka wembe Chapa Mamba na picha ya wembe ukimkata mamba vipande viwili, siku nilipomuona mamba mwenyewe live sikutaka tena kuona huo wembe.

Dah we jamaa umenivunja nbavu
 
Hii sabuni bado ipo? Nakumbuka sabuni tulizokuwa tukitumia watu wa kaskazini ni lifebouy, Rexona na nini sikumbuki.

Kitambo kweli.
 
kwa wale vijana wa enzi hizo vp kwa kupigia goli la mkonoooo,ilikuwa tamuuu ana yachubuaaaa
 

unakumbuka huyo mbebez!

Kweli kabisa mpenzi revola bythen...atakuwa mtu mzima sasa

Umeona eeh!

Hapa nilikuwa sijakufahamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…