"Nieleze siri ya mafanikio...."
"Sio siri, ni revolla!"
" Revolla peke yake?"
" Ndiyo...kwani marashi yake ni
tulivu, na huniacha fresh,
mchana kutwa..."
Jamani hivi yule binti
alishapotelea wapi? Nilikuwaga
namfeel kinoma. Nadhani
zingekuwa zama hizi za
utandawazi angekuwa bongo
movie...
unakumbuka huyo mbebez!
yupo paris now anafanya maisha
ni mama watoto wangu... tupo nae mbezi mwisho
duu..ngoja nichague kuwa muongo hapaNani mkweli
Jamani umenikumbusha mbalii m kipind hcho nipo std 1. Lilkuwa linalushwa ITV alikuwa na tabasamu zurii. Duh!!! Na lile la maji safii Kilimanjaro je ??
Alafuu la salamaa chaguo la kisasa!! Kalikuwa kawimbo kathurii
ni mama watoto wangu... tupo nae mbezi mwisho