dah , ivi hii kitu naweza nkaipata wapi kwa sasa , nadhan hata watoto wa sasa waweza enjoy this mambo , nakupumbuka nlipigana na mdogo wangu , alizungusha raundi mbili kucheki wakati tulikubaliana round moja moja , kweli kitambo
Aaah! Ww dogo sana huwezi jua hii kitu. Yaani imenikumbusha mwaka 1995 pale VINGUNGUTI ''A'' P/SCHOOL yaani kuangalia picha 5 sh 10/= wakati huo kwa pesa hiyo unapata supu ya mapupu kwa mama kapaya(rip my beloved grand ma)
Umenikumbusha mbali sana, nakumbuka kuna mzee mmoja alikuwa anapita mashuleni (shule za msingi), unalipia halafu unaangalia hayo mapicha.Kweli teknolojia inabadilika.
Aaah! Ww dogo sana huwezi jua hii kitu. Yaani imenikumbusha mwaka 1995 pale VINGUNGUTI ''A'' P/SCHOOL yaani kuangalia picha 5 sh 10/= wakati huo kwa pesa hiyo unapata supu ya mapupu kwa mama kapaya(rip my beloved grand ma)
Dah! Hii inanikumbushia enzi zile nilikuwa na yakwangu kutazama CD moja nilikuwa natoza sh 5 kwa siku nilikuwa nakusanya sh 30 mpaka 5.na nakumbuka kuna picha ya mhindi anaokota mahindi.