Kata ulaji wako wa wanga na mafuta kwa 75%, ongeza matunda na majani. Acha sukari ukiweza.
Kwa kuanzia funga (jla kunywa maji) kwa mwezi hivi ili fat ulizonazo ziunguzwe kuzalisha nguvu unayoihitaji kwa metabolism. Unapokula usiku kula zaidi matunda, majani, protein na wanga kiduchu sana.
Wallah ukibakwa na wababa wawili mbele ya hadhara utakonda kama muwa wa Kamanyola kwa mawazo. We anza kuvaa hereni tu wanaume wakuone, kitambi nacho cha kukusumbua!
punguza spidi basi umemaanisha akueleweje hapo!!!apunguze kula na kunywa maji!!!fanya mazoezi punuza kula kunywa maji
jamani mwenzenu nina tatizo naona litaniletea shida hapo baadae ni hivi sasa nimeanza kunenepeana na kutoka kitambi ambacho kwa kweli sikipendi naomba mnijulishe dawa ya kukiondoa wadau.nawasilisha
hivi na kwa nini watu wenye vitambi wanakuwa na vibamia??am curious you know
mhm...kumbe umepitia migegedo mingi lol....
vibaya mnoooooooooooo yani saa zingine nikianza kuhesabu nacheka mwenyewe nijibu basi au na wewe kibamia japo huna kitambi:yell:
mie nakibamia changu sina kitambi...kazi kwao wanaotaka kuhiumiza moyo kumridhisha mwanamke...mie najigongea nikikojoa natulizan zangu pembeni kwa raha zangu.
hivi na kwa nini watu wenye vitambi wanakuwa na vibamia??am curious you know
dah yaani kibamia na kujisifia kote huko :yell::yell: bla bla bla kibao ha ha ha ha ha kumbe kibamia muone huyu bana MziziMkavu maana nauhakika utakapoota kitambi sijui hata kama kitaonekana chunga sana kitambi
vibaya mnoooooooooooo yani saa zingine nikianza kuhesabu nacheka mwenyewe nijibu basi au na wewe kibamia japo huna kitambi:yell: