Kuna yale matatizo yakupigwa chini unavimba juu sasa vipimo vyake sometimes sio sahihi sana na hicho nasikia kinauwezo wakujua hadi nani alikupiga kama wengi walikupiga na hukumbuki yupi alikupiga sana mpk ukavimba.
Vp mdau huamini au unataka kuamini the way it works?:A S-eek::A S-eek:Mmmh ni shidaaa!! Kwa iyoo kinaonyesha wapi uyo muhusika?