Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,611
- 164,629
Kwa hali ninavyoiona,nina mashaka makubwa kama ripoti ya CAG itajadiliwa bungeni siku ya kesho pamoja na ahadi ya mh.Spika.Hivi wadau mmejiuliza nj kwanini mwenyekiti wa bunge amegoma kupokea muongozo wa mh.Lissu kwa kisingizio bunge halijapokea hukuma rasimi ya mahakama kuu?Labda niwaulize tu,kwani wakati Spika anatoa msimamo kuwa bunge halitazuiwa kufanya kazi yake kulikuwa na hukumu ya mahakama?Alichofanya mwenyekiti wa bunge jioni hii ni ujanja ujanja tu kuepuka kuji-commit kwani bila shaka anajua kila kitu hivyo hakutaka kuja kunukuliwa siku ya kesho na akasingizia kuwa bunge halijapokea rasim hukumu hiyo ya mahakama.Wadau,hii ni consipiracy tu na ni mkakati umepangwa kiufundi kuwahadaa wabunge.Alichofanya Spika ni kuwatia moyo wabunge tu pengine ili shughuli za leo zikamilike ila kesho ama atawageuka kwa kuwasomea hukumu rasimi ya mahakama au vile vile huenda kesho asikalie kiti na badala yake atamtuma mwenyekiti wa bunge huku akiwa na maelekezo maalumu ya kuzima mjadala.Uwezekano mwingine ni kesho spika anaweza kuisoma hukumun hiyo mbele ya wabunge na kisha akaagiza kikao cha Kamati ya Uongozi kikae na kisha kitakuja na majibu ya kuahirisha mjadala huo kwa kisingizio cha ushauri wa kisheria na mambo ya aina hiyo.Hata Mwanasheria Mkuu wa serikali anaweza kutumika kwa kupewa nafasi ya kuongea bungeni hiyo kesho na kisha akaitumia nafasi hiyo kupotosha ukweli ili jambo hili lisijadiliwe na wabunge.Sina imani kabisa na uongozi wa mihimili yote mitatu ya dola juu ya jambo hili na sina imani kabisa jambo hili litajadiliwa katika bunge hili.Huu ni mtazamo wangu tu.
Nyani weHama nchi kama Huna Imani na chi yako

ibbara ya 100Mjadala utakuwepo kama kawaida
Hama nchi kama Huna Imani na chi yako