Kitakachoiponza CHADEMA ni ''utoto'' wa wagombea wake

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Hili la ''utoto'' wa wagombea wa CHADEMA linaanzia kwa mgombea urais hadi wagombea udiwani walio wengi. Wengi wanafurahia sifa za ''insta'' na ''twitter'' pale wanapo post tuhuma za uongo na wanafikiri wafuasi wa hizo akaunti zao ni ''wapiga kura'' au watu wanaoishi kwenye majimbo yao hivyo ''hufarijika pale wanapopata sifa

Tumeshuhudia Tundu akiongea mitandaoni kupitia mwanasheria wake ''bwanyeye'' aitwaye Robert akijaribu kuiaminisha dunia kuwa eti ''atazuiliwa kugombea urais sababu anakubalika sana'' vilevile tumeshuhudia hadaa na ramloi za akina Boniface, Ruge nk. eti watatekwa. Maajabu hayaishi duniani.

Itoshe tu kusema tabia hii ya ''utoto'' ya wagombea wa CHADEMA itawagharimu kuelekea uchaguzi mkuu 28 Octoba 2020.
 
Wagombea wengi wa chadema wana utoto sana sana, ndio maana kuna muda naona bora magu anavyowaminya.
Na kwa utoto wanaoonyesha naiomba serikali ifanye juu chini iwaengue au wasishinde kwenye uchaguzi.
 
Cdm kipo katika wakati mgumu sana. Je kitaweza kupata wabunge na madiwani wengi kama uchaguzi uliopita?. Wakishindwa hawa jamaa watafarakana haijapata kutokea.
Ingekuwa mazingira ni TAMBARARE (bila polisi na tume kuingilia mchakato), upinzani wangepata viti vingi. Lakini huu utaratibu wa kutekana, kupokonyana fomu mchana na kufuatana usiku haijakaa sawa kabisa, inajenga mazingira ya hofu kwa wapinzani. Lakini yana mwisho yote haya
 
Chadema ilikuwa imededi sasa Lissu kaja kwaboost kidogo ndio maana wanskuwa kama wamekurupushwa kuanzia mgombea wao wa urais
 
Ingekuwa mazingira ni TAMBARARE (bila polisi na tume kuingilia mchakato), upinzani wangepata viti vingi. Lakini huu utaratibu wa kutekana, kupokonyana fomu mchana na kufuatana usiku haijakaa sawa kabisa, inajenga mazingira ya hofu kwa wapinzani. Lakini yana mwisho yote haya
Mkuu unaamini maneno ya mitandaoni?. Mimi naona ni kiki tu.
 
Wagombea wengi wa chadema wana utoto sana sana, ndio maana kuna muda naona bora magu anavyowaminya.
Na kwa utoto wanaoonyesha naiomba serikali ifanye juu chini iwaengue au wasishinde kwenye uchaguzi.

Mkuu, haki halisi ni ya wewe kumchagua uliyemuita magu. Kuwaengua kwa uonevu si jambo zuri hata kama CCM yenyewe inafanyia wagombea kuanzia rais mpk diwani. Mimi nisiyekuwa mwanachama wa chama cha siasa - ninatakiwa kupewa machaguo.

Mtu hawezi kuchagua kutoka kwa kitu kimoja.
 
Tatizo la hawa wagombea na viongozi wa chadema wana utoto sana. Angalia post zao kule twitter ndio utaelewa walivyo.
Kutoka moyoni, naomba waenguliwe au ifanywe namna yoyote wasishinde kwa sababu ya ujinga na utoto wanaoufanya
Mkuu, haki halisi ni ya wewe kumchagua uliyemuita magu. Kuwaengua kwa uonevu si jambo zuri hata kama CCM yenyewe inafanyia wagombea kuanzia rais mpk diwani. Mimi nisiyekuwa mwanachama wa chama cha siasa - ninatakiwa kupewa machaguo.

Mtu hawezi kuchagua kutoka kwa kitu kimoja.
 
Huo ndio utoto unaozungumzwa hapo, hakuna chochote kilichotokea ukara.
Huko ukara wameonesha njia baada ya kula kichwa cha mmoja wa watekaje!Hii iendelee kote ambako kuna watu wanajaribu kuteka wagombea,ni kunyofoa vichwa tu!
 
Wasingepiga kelele kuanika wazi njama zenu nyie watekaji mngewafanyia kweli, njama yeyeto ovu ikishaanikwa wazi huwa na chance ya kufa
 
We jamaa ushachinja wangapi? Au ndo umecomment ukiwa unajichokonoa makalio..? Acheni mbwembwe za kubweka huku, njooni uraiani kwenye maisha halisi, na myafanye haya mnayoyanadi huku.
Nyie mliovuka boda kufata malisho ya mifugo nchini mwetu ndio mmetuletea hizi roho ya umwagaji damu hazikuwepo kabla kila uchaguzi ukiakaribia
 
Huo ndio utoto unaozungumzwa hapo, hakuna chochote kilichotokea ukara.
Wakudadavua ni miongoni mwa wanaCCM vilaza usiotakiwa kuwasiliza. Labda John kidogo anajua nini anafanya. Mtu kauawa akijaribu kupora fomu lakini Kwa vile yeye kajaliwa K kubwa anajifanya haoni upuuzi unaofanywa na wana ccm wenzake.
 
Back
Top Bottom