Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
Ndugu zangu,
Hili la ''utoto'' wa wagombea wa CHADEMA linaanzia kwa mgombea urais hadi wagombea udiwani walio wengi. Wengi wanafurahia sifa za ''insta'' na ''twitter'' pale wanapo post tuhuma za uongo na wanafikiri wafuasi wa hizo akaunti zao ni ''wapiga kura'' au watu wanaoishi kwenye majimbo yao hivyo ''hufarijika pale wanapopata sifa
Tumeshuhudia Tundu akiongea mitandaoni kupitia mwanasheria wake ''bwanyeye'' aitwaye Robert akijaribu kuiaminisha dunia kuwa eti ''atazuiliwa kugombea urais sababu anakubalika sana'' vilevile tumeshuhudia hadaa na ramloi za akina Boniface, Ruge nk. eti watatekwa. Maajabu hayaishi duniani.
Itoshe tu kusema tabia hii ya ''utoto'' ya wagombea wa CHADEMA itawagharimu kuelekea uchaguzi mkuu 28 Octoba 2020.