Mkuu unamchukulia poa China.hahaa, eti China ndio jeshi lote la Nato? China + Urusi hawamfikii hata Marekani kiuchumi na kijeshi akiwa peke yake, achilia mbali hiyo Nato, hebu jaribu kutafuta facts mtandaoni kwanza kabla ya kuja kujibu kwa ushabiki na mihemko mkuu
Maneno matupu hayavunji mufupaKwanza ujue ni kuwa Trump alichaguliwa na kundi kubwa la watu wasipenda vita na uchaguzi wa term ya pili unakaribia, lakini pia vita vikitokea huenda Iran akashambulia nchi jirani ambazo ni washirika wa USA. Nje ya hapa ni kuwa pamoja na support ya Urusi na China bado hawezi mtikisa Mmarekani, shida ndio hiyo hatashinda na wala hatakubali afe mwenyewe.
Dah Wee Jamaa Umenichekesha Kinyama Asee[emoji2][emoji2]Trump is weak and afraid, naanza hisi hata jeshi la Marekani sio la kuamini sana
Yaani Mkuu Natamani Sana Watu Waisome Hii Koment Na WaielewePale Middle East Iran tu ndio nchi inayo weza simama kumbishia US
Ila watu mjue kuna tofauti ya kubishi na kushinda..
Kwa nini Iran haina marafiki middle East, na anachukiwa na Israel Iran ndio nchi pekee ilio baki ikipigania maslai ya Palestina wengibe waLisha mtosa mwarabu mwenzao
One on One Israel na Iran, Israel ana kalishwa... Sema Protection from Us ndio ina mpa kibur Israel
Israel level zake ni Palestina na Syria Lebanon, Jordan, na Misri ya siku hiz sio Alafat
Ongeza sautooooWashabiki wa Yanga na Simba utawajua tu...wajua kupanga matokeo kabla ya mechi
Yan bora hata na ww umeona ukwel.yan wa2 wamekarr kuwa China ni weak hv hawajui kwann USA anaweka vkwazo kwa kla taifa atakalolion lnakarbia kumfkia iwe kiuchumi kteknoljia na kjesh.Mkuu unamchukulia poa China.
Usikae ukakariri ya mtandaoni.
Ebu nenda kamuulize USA nini kilichomkimbiza South China sea alipoenda kuweka battle ships zake akidai kuwa south china sea ni international marines ila kuna vyuma alivionesha China vinapiga two targets per once na akamuonya USA arudishe battle ships zake na asirushe fighter jets pale.
US haikubaki na hairushi ht kipepeo pale South China sea.
Usiwachukulie China poa ww.
China peke yake anateketeza NATO nzima.
Maana ana vinu hajavitoa na ni hatari we baki na kusoma data za kwenye google.
Nawashangaa hawa.Yan bora hata na ww umeona ukwel.yan wa2 wamekarr kuwa China ni weak hv hawajui kwann USA anaweka vkwazo kwa kla taifa atakalolion lnakarbia kumfkia iwe kiuchumi kteknoljia na kjesh.
au wa2 wameshasahau ushuru unaopandshwa kwa bdhaa za china na vkwazo vya nuclear dhd ya iran na ktendo cha kumtoa Russia kwny G8.pia bla kumsahau vkwazo alvyowekewa N.korea na hukchek hao wote ipo sku wataungan ili kumpga USA na hapo ndpo WW3 itakapotokea
so cc wa thrd world country inabd 2we watazamaj kuangalia.pia hyo vta iktokea kaa ujue kla taifa ltaathrk kutokana kla m1 kumtegemea mwnzak ktk nyanja mbalmbal
Pia hata wale washrk wa marekan mfano Israel Uingereza France nk na baadh ya mataifa ya kiarab nao wataingia vtan hawatakubal kiongoz wao apgwe ndo maan mpk sasa kla m1 anasubria n nan atakayeanzsha mashambulz ya direct.ndo utakuta kla kukch Dt anatoa vtsho vya kuishambulia Iran ila anashndw na ujue kuwa kuna reason behind
USA is superpower country with all kind of lethal weapons under the sun, you can't make comparison with Iran!
Chunga vita sio lelemama ni shughuli!
Ndo shda ilpo na wana JF wengi wao wanacoment bla kujua wanachocoment yan kuna m2 m1 amenchekesha alposema kuwa wakchanganywa MRussia na mChina hawamfkii USA ya huyo m2 ndo ameniacha hoi nkajiulz hv anazjua hzo nchi vzur au ndo na yy anajskia kuandkNawashangaa hawa.
Hivi hawajui km Trump alisitisha kuiingia N.korea kijeshi kwasababu China alikua nyuma yake.USA anaijua nguvu ya China kijeshi na kiuchumi ndio maana kila siku USA analia na China ili amkate makali.
Kaka ungefuatilia ile ishu ya South china sea mchina sio poa.
Yani America kajifanya kujishebedua kusema ile ni mipaka ya kimataifa akaleta manowari jamaa akawa anamuonya tu .Akawa anapaisha hadi ndege China anamuonya tu.
Alivyozidisha aircraft carrier mzee akaweka vinu vyake vya nuclear ballistic missiles yan pigo moja kwa ndege wawili akamwambia ukirusha ndege naachia vyuma.
Hadi sasa uliza km kuna meli vita ya USA imebaki south china sea.
Hawa watu hawaelewi kwann USA anahangaika na China kuliko Iran mwenyewe,kwasababu ishaonekana dalili ya China kumtake over USA ndio maana jamaa wanahangaika kumuangusha.
Vitoto vingi humu ndani siku hizi hamna raha tena yaanii.Ndo shda ilpo na wana JF wengi wao wanacoment bla kujua wanachocoment yan kuna m2 m1 amenchekesha alposema kuwa wakchanganywa MRussia na mChina hawamfkii USA ya huyo m2 ndo ameniacha hoi nkajiulz hv anazjua hzo nchi vzur au ndo na yy anajskia kuandk
Inabd cc 2we watazamaji 2 kwa maan ktakachotokea kwny WW3 itakuwa ni uzallshaj kwa taifa la USA.pia katk taifa lnalchukiwa na wng USA hakosekan pa1 kuwa lnaloongoz ni Iran ikfuatiwa na IraqNawashangaa hawa.
Hivi hawajui km Trump alisitisha kuiingia N.korea kijeshi kwasababu China alikua nyuma yake.USA anaijua nguvu ya China kijeshi na kiuchumi ndio maana kila siku USA analia na China ili amkate makali.
Kaka ungefuatilia ile ishu ya South china sea mchina sio poa.
Yani America kajifanya kujishebedua kusema ile ni mipaka ya kimataifa akaleta manowari jamaa akawa anamuonya tu .Akawa anapaisha hadi ndege China anamuonya tu.
Alivyozidisha aircraft carrier mzee akaweka vinu vyake vya nuclear ballistic missiles yan pigo moja kwa ndege wawili akamwambia ukirusha ndege naachia vyuma.
Hadi sasa uliza km kuna meli vita ya USA imebaki south china sea.
Hawa watu hawaelewi kwann USA anahangaika na China kuliko Iran mwenyewe,kwasababu ishaonekana dalili ya China kumtake over USA ndio maana jamaa wanahangaika kumuangusha.
na wewe sawa ayatollahSawa Neta"NYAU"
Kwa taarifa yako Marekani huwa haina ubavu wa kushambulia nchi yenye uwezo wa kurudisha mapigo! Marekani ni waoga sana, huonea nchi zisizokuwa na uwezo wa kujibu mashambulizi!!! Ndio maana huishia kubweka tu na kuweka vikwazo Kwa mataifa kama Korea ya kaskazini, Venezuela, urusi, China, Cuba na sasa Iran!!! Kwanza marekani imeumbuka maana huuzia washirika wake ulinzi wa anga kanyaboya na kupiga pesa!!Wanaosubiri Iran kushambuliwa watasubiri sana!!!!!Leo nimeona Trump karudisha sanctions dhidi ya Iran. Na pia Saudi baada ya visima vyao vya mafuta kushambuliwa na Iran majuzi tu, wameamua kutengeneza press conference kabisa na ushahidi. Kwa wenye uelewa hapa tunajua kwamba Iran anatengenezwa justification ya military attack ili akivamiwa dunia isilalamike. Yetu macho.......
Nawashangaa hawa.
Hivi hawajui km Trump alisitisha kuiingia N.korea kijeshi kwasababu China alikua nyuma yake.USA anaijua nguvu ya China kijeshi na kiuchumi ndio maana kila siku USA analia na China ili amkate makali.
Kaka ungefuatilia ile ishu ya South china sea mchina sio poa.
Yani America kajifanya kujishebedua kusema ile ni mipaka ya kimataifa akaleta manowari jamaa akawa anamuonya tu .Akawa anapaisha hadi ndege China anamuonya tu.
Alivyozidisha aircraft carrier mzee akaweka vinu vyake vya nuclear ballistic missiles yan pigo moja kwa ndege wawili akamwambia ukirusha ndege naachia vyuma.
Hadi sasa uliza km kuna meli vita ya USA imebaki south china sea.
Hawa watu hawaelewi kwann USA anahangaika na China kuliko Iran mwenyewe,kwasababu ishaonekana dalili ya China kumtake over USA ndio maana jamaa wanahangaika kumuangusha.
Ujui kitu us yupo south china sea miaka yote embu fatilia vizur
Mkuu unalalaga sana.Ujui kitu us yupo south china sea miaka yote embu fatilia vizur
Ndo walwal ambao wanakurupuka kucoment bla kujua knachoendelea kwny hii duniaMkuu unalalaga sana.
Ama kazi zimekuzidia mpk habari huangalii.
US ametoka pale south china sea ame with draw na kusogeza meli vita zake nyuma.Yani ktk mipaka ya south china sea US hawapo tena wame pull back.
Acha kufananisha Iraq na Iran.Iraq ni Arabs wakati Iran ni Persians.Mlisema hivi hivi 2003 wakati iraq inachapwa mara mstari mwekundu mara makombora matokeo yake yule mzee kajificha kwenye shimo nchini kwake.Hakuna taifa kwa sasa linaweza kupigana na USA.Jifariji tu