Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,600
- 36,613
DuuuhKununua silaha siyo shida hata marekani hununua silaha, shida ni silaha gani unatengeneza, high tech zaidi ya kumshinda mmarekani? Iran anasaidiwa kisirisiri na Mrusi, Mchina na Korea Kaskazini na hawawezi kumpa technolojia yote, usidanganye Iran siyo super power.
IRAN Kam Provoke Nani ?!USA, Israel, Saudia, UAE, Kuwait na washirika wengine wa kiarabu wakiamua kumfanyia shambulio la kushtukiza Iran watampoteza kabla hata hajaweza kujibu mkuu, sema vita sio kama unawinda ndege, kuna madhara mengine mengi ambayo hayatabiriki yanaweza kujitokeza hata kama umemshinda adui
Sema Iran akiendelea na provocation nadhani hilo halitaangaliwa tena
Sawa Neta"NYAU"Hao ma ayatollahs, na mullars watapata wana chokitafuta, na kile hawajui ni ya kuwa wayahudi (israel) wako na lama zote za kutumika kuwashambulia dakika yeyote, kweli mkuu yetu ni macho tu hapa
mwenyewe natumaini haitatokea, kama Iran akituliahakuna waku anazisha Vita na Irani mkuu
Siku wakianzisha nitafute nikupe zawadi mkuu ata kama ni 10GB
Hicho kituo cha mafuta cha Saudia kilichoshambuliwa Iran anahusika direct ama indirectIRAN Kam Provoke Nani ?!
Ila Huo Upuuzi wakumkurupukia Muajemi Hakuna Anaeweza Kuufanya
US Kafanyiwa Mambo Kibao Yeye Kama Yeye Nahakuna Alolifanya
Seuze Huyu Mpuuzi SAUDI ARABIA Halaf Ugomvi Aununue US
Hakuna Anaeweza Ingia Mzgoni Nawaajemi
Mkuu Kuna mtu aliitwa Sadam Hussein alitisha kuliko Iran na alijitapa kuliko maelezo but... alinyofolewa unyoya.. Vita vya kuzingirwa visikie tu na ubabe wako lazima ukae chini... maana supply line ikishakatwa hata yule anayekusaidia anakuacha uangamie... Vita watu wanalenga maghara ya silaha yote so ukiishiwa na silaha huwezi pigana na manati au mawe kama wapalestina walivyoishiwa... Wanaokataa vita ni wa kuwapa heshima na wajeuri shauri zao... wamechagua upande waupendaoyaani wakitaka wakipate kilichomtoa kanga manyoya wathubutu ku wage war against Iran
kuna wadau wanamtamani marekani wamdunde ila bado nao hawajapata sababu....
Atulie vp unavyotaka ww kwamfano ?!mwenyewe natumaini haitatokea, kama Iran akitulia
Hatatulia kamwe hao jamaa wana jijuwa wenyewe wao na North Korea ni viumbe wa ajabuu!mwenyewe natumaini haitatokea, kama Iran akitulia
Sasa ngoja nikwambie kitu IRAN hahusiki Direct kwasababu Kashakanusha kama Hajahusika na katoa wito wafanye uchunguzi kama kahusika kwa namna yoyote ile watoe ushahidiHicho kituo cha mafuta cha Saudia kilichoshambuliwa Iran anahusika direct ama indirect
Anaweza kuhusika direct kwa sababu vituo hivyo vinalindwa na teknolojia ya hali ya juu ambayo hao waasi wa Houthi wanaodai kulipua hawana uwezo wa kuizunguka na kulipua
Anahusika indirect kwa sababu yeye ndiye anaywafadhili na kuwapa silaha hao Waasi wanaodai kulipua visima Saudi Arabia, kama Iran angekuwa hataki vita kweli huu sio muda wa kufadhili na kuwatuma hao waasi kwenda kuilipua Saudia kipindi hiki ambacho Mashariki ya Kati kuna tension kubwa na unaweza kutingisha kidogo tu na vita ikatokea,
We jamaa muongooo kufuru.Wewe unaichukulia Israel kama Yemen. Umesahau alivyowaua wanasayansi wa Iran na kulipua vinu vyao vya nyuklia. Akigonga Israel wanampasua hata bila ya msaada wa USA
Mkuu Saddam Hakuwahi Kutisha KwasbabuMkuu Kuna mtu aliitwa Sadam Hussein alitisha kuliko Iran na alijitapa kuliko maelezo but... alinyofolewa unyoya.. Vita vya kuzingirwa visikie tu na ubabe wako lazima ukae chini... maana supply line ikishakatwa hata yule anayekusaidia anakuacha uangamie... Vita watu wanalenga maghara ya silaha yote so ukiishiwa na silaha huwezi pigana na manati au mawe kama wapalestina walivyoishiwa... Wanaokataa vita ni wa kuwapa heshima na wajeuri shauri zao... wamechagua upande waupendao
Silaha anazonunua US inategemea.Kununua silaha siyo shida hata marekani hununua silaha, shida ni silaha gani unatengeneza, high tech zaidi ya kumshinda mmarekani? Iran anasaidiwa kisirisiri na Mrusi, Mchina na Korea Kaskazini na hawawezi kumpa technolojia yote, usidanganye Iran siyo super power.
Mkuu huyo Saddam Hussein alipigana na Iran vita vya miaka nane akisaidizwa na USA kipindi hiko Iran ina jeshi changa la mapinduzi lakini Saddam Hussein alisanda.Mkuu Kuna mtu aliitwa Sadam Hussein alitisha kuliko Iran na alijitapa kuliko maelezo but... alinyofolewa unyoya.. Vita vya kuzingirwa visikie tu na ubabe wako lazima ukae chini... maana supply line ikishakatwa hata yule anayekusaidia anakuacha uangamie... Vita watu wanalenga maghara ya silaha yote so ukiishiwa na silaha huwezi pigana na manati au mawe kama wapalestina walivyoishiwa... Wanaokataa vita ni wa kuwapa heshima na wajeuri shauri zao... wamechagua upande waupendao
Hivi mkuu nan mgomvi kati ya Iran na USA na washirika wake???hayo ya drone mbona yalikuwa yameshapoa, kinacho escalate mambo sasa hivi ni kulipuliwa kwa hizo site za mafuta za Saudia na hao wanaodaiwa kuwa waasi wa Houthi, ambao wapo backed na Iran, hata kama Iran hajalipuwa yeye moja wa moja atakuwa anahusika kwa kuwa yeye ndio anayewafadhili hao waasi,
Watu hawataki vita lakini uvumilivu una kiwango chake
Marekani wa enzi za George Bush sio Marekani wa DT. USA akithubutu kupeleka pua yake Iran ndio utakuwa mwisho wake.
πππ Duh umetoa ya moyoni mkuu!!Trump is weak and afraid, naanza hisi hata jeshi la Marekani sio la kuamini sana
kwa hiyo kwa akili yako unadhani, Russia ata risk kuingia kwenye vita na Marekani kisa Iran? unajua gharama ya kuingia kwenye vita hiyo, Russia ni mjinga wa kuingia kwenye vita na nchi yenye jeshi na uchumi mkubwa zaidi duniani kwa ajili ya Iran? hahaa