Kitabu ulichonunua hivi karibuni

Kitabu ulichonunua hivi karibuni

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,318
1. Kisiwe "cha shule".

2. Kisiwe kwa namna yoyote kinalazimika kununuliwa.

Mimi kitabu nikumbukacho kukinunua hivi karibuni ni Do It Scared. Nilikinunua kama ebook.

Kitabu ambacho karibuni ulikinunua ni kipi?
 
Ungesema kusoma kununua hata machinga wananunua ila kuvisoma sasa😉😉😉
 
Kununua inaonesha msisitizo mtu aliokuwa nao mpaka akaamua kutumia rasilmali kukipata kitabu. Ambavyo si vya kununua unakuta mtu amekaa nacho, one-day-moja nitakisoma 😉

Kuhusu Chingaz, shida ni lugha. Si wajua kinge kilikuja na meli 😀
 
1. Kisiwe "cha shule".

2. Kisiwe kwa namna yoyote kinalazimika kununuliwa.

Mimi kitabu nikumbukacho kukinunua hivi karibuni ni Do It Scared. Nilikinunua kama ebook.

Kitabu ambacho karibuni ulikinunua ni kipi?
Huko hapo....
#ASANTE
#YNWA
IMG_20191005_203608.jpeg
 
Vitabu nilivyovisoma ndani ya mwezi ulopita ni:

1-The Bush Rodents by Charles Mloka
2-Elimu jamii na mafumbo By Mloka
3-Mapinduzi au uhaini
4-Kesi ya Uhaini ya xxxxx (naficha jina kidogo)
5-Misingi ya uhakiki wa kifasihi

nilichosoma wiki hii ya mwanzo ya mwezi huu.
1-Kijiji Kisicho na makaburi.
 
Kinahusu nini?
Bado sijakimaliza mkuu maana kipo kama biblia ila mpaka nilipofikia kinaelezea dunia ambayo kila mtu yuko busy kufanya lolote linalowezekana kumfanya awe tajir. Kuna sehem Don anamwambia mwanae ambaye ni fundi nguo kwa taaluma akasomee Biashara ili apate ujuvi wa kuiba hela bila kuvunja sheria.
Ndani yake kuna mapenzi, tamaa, sacrifices na usaliti. Ni kama season 2 ya Godfather kwa namna flani maana hata muandishi ndo huyohuyo Mario Puzo.
 
Don Crelicuzio??
 
Back
Top Bottom