Bongo Pix Blog
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 213
- 34
Mafanikio yoyote yana siri kubwa. Hakuna mtu aliyefanikiwa kama hakuwa na SIRI. Wafanya biashara wengi wanafanya biashara kwa kubahatisha tu, hawana siri zitakazo fanikisha biashara zao. Kwenye ulimwengu wa biashara hakuna neon BAHATI Kila mafanikio utakayoyapata yanatokana na siri au kanuni ulizonazo.
UTANGULIZI
Wafanyabiashara wengi sana siku hizi wanavilio vikubwa sana juu ya biashara zao, kwani hali za biashara siku hizi zinazidi kuwa mbaya kila kukicha.
Wengi wanachukua mkopo kwenye mabenki na wanashindwa kurejesha na huku wengi wao wakiwa wameweka rehani mali zao za thamani. Wengi wanaishia kufilisiwa mali zao na hizo benki na wanaishia kwenye maumivu makubwa sana.
Wafanyabiashara wengi sana siku hizi wanavilio vikubwa sana juu ya biashara zao, kwani hali za biashara siku hizi zinazidi kuwa mbaya kila kukicha.
Wengi wanachukua mkopo kwenye mabenki na wanashindwa kurejesha na huku wengi wao wakiwa wameweka rehani mali zao za thamani. Wengi wanaishia kufilisiwa mali zao na hizo benki na wanaishia kwenye maumivu makubwa sana.
Wafanyabiashara wengi wamejitahidi sana kuziombea biashara zao lakini ni kama maombi yao hayaleti matokeo, sababu ni kwamba hawajui kanuni za kufuta kwa ajili ya kuziombea biashara zao, ndio maana maombi yao hayaleti matokeo makubwa kwenye biashara zao.
Biblia inatufundisha kuwa mtu anaweza kuomba vibaya
Soma Yakobo 4:3 Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya
Ni kweli kabisa, wafanyabiashara wengi hawajui kuziombea biashara zao. Hawana kanuni wala ufunuo wa maombi kwa ajili ya kuziombea biashara zao, ndio maana pamoja na kujitoa sana kwenye maombi hawapati matokeo waliyoyakusudia.
Maombi yana kanuni zake, ili upate matokeo kwenye eneo lolote, lazima ufuate hizo kanunin au ufunuo, ndivyo ilivyo hata kwenye eneo hili la biashara. Ni lazima ufuate kanuni zote zilizoandikwa ndani ya kitabu hiki, ndipo utaanza kuona maombi yako yanavyoanza kufanya maajabu kwenye biashara yako.
Pia ndani ya kitabu hiki utajifunza maarifa mengi yatakayokusababisha upige hatua kubwa kwenye biashara zako, kwani ujinga ndicho chanzo kimoja cha watu wengi kushindwa ki-biashara. Ni maarifa pekee yatakayokufanya kila siku upate FAIDA kwenye biashara zako.
Isaya 48:17, BWANA, Mkombozi wako, mtakatifu wa Israel, asema hivi; Mimi ni BWANA, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuta.
SOMA SHUHUDA HAPA NA JINSI YA KUPATA KITABU HIKI
+255784475576.
