Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

Kama nimemisunderstand i take back my word, kimsingi sinashida na uislam hata jina kiweje so long as theme haiki biased ila kinacho nisikitisha huwa kila kitabu ama maandishi wanayoandija kuhusu uislam huwa ni malakaniko tu, utasikia historia ya waislam imepotoshwa, mara mambo ya waislam yalinyanganywa kitu ambacho binafsu sikiamini kwani naamini hao waislqm wakipindi hicho nao walikuwa na akili timamu,

Kama kuna mambo waislam wa sasa wanatakiwa kuyafanya ni kurekebisha kasoro walizofanya waislam waliotangulia kwa kuweka vitu kwenye maandishi......

Na hili lilitokea pale walipopuuzia kusoma elimu ya hii ya maisha ya kawaida kwani kwenye elimu hii ndipo watu wanapopata fulsa hata ya kuandika maishayao kabla hata ya kuwa historia.....

Nampongeza sana mwandishi kwa kusoma vizuri mpaka ngazi aliyofikia na pia natiwa moyo na waislam wa siku hizi kwan wengi sana wanapeleka watoto wao shule na pia wao wanasoma.....

That great for future peace of the world.
Mbarikiwe
Mkuu nikuunge mkono kwa hii hoja..sio mara moja wala mbili nimewahi sikia waislamu ndo walileta uhuru nchi hii. Swali la msingi kuna manufaa gani kujua kama waislam au wakristo walilete uhuru. Kwa nn isiwe tu Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961.. Uislam ni malalamiko ukimtumbua mwislam kwenye position flan ukamchagua mkristo utaona wanavolalamika n.k. Bila shaka naye huyu kaandika kile2, sio uhalisia bali malalamishi..binafsi siwezi hata kukisoma hata nipewe bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The problem is hiyo historia mnayotaka kuandika Iko too biased na inaonyesha kwamba huyo prof ana agenda zake ambazo zinaweza zikaleta uvunjifu wa amani
Wasomi kama Hawa wanashindwa hata na waimbaji wa mziki kama akina roma sasa muda wote mnaambiwa someni kwanza kitabu ndiyo mje na fact za kukikosoa nashangaa mnaanza kukusoa kitabu kabla hata hujakisoma!!!shame

Soma kitabu kwanza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ajabu yake utashangaa anayeandika kitabu na yeye ndio mdini. ukishaona mtu anatoka hapo msikiri wa mtoro, sijui magomeni, na ndiko address zake na maeneo ya kwenda kupata vitabu, hata uprofesa wake ni wa kutia mashaka kabisa. labda akafundishe kile chuo cha morogoro, manake wale wakimuona tu wataamini kila anachosema.
Hute Magomeni ndiko ninakoishi kwani hili ni tatizo? Kuhusu kitabu kuuzwa Msikiti wa Mtoro na Manyema kwani hairuhusiwi? Mbona kitabu cha Padri Sivalon kikiuzwa Cathedral Bookshop? Tatizo nini ndugu yangu? Kwa taarifa yako kitabu changu kipo kwingi tu. Utakipata TPH, Elite Bookshop, Someni Bookshop, Novel Idea na nje ya misikiti na mikononi mwa wauzaji wadogo wadogo si hayo tu. Kimepewa review katika journal kadhaa Marekani na Ulaya na ni kitabu kinauzika sana. Kimefanyiwa serialisation katika The East African. Kinakwenda toleo la nne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hute Magomeni ndiko ninakoishi kwani hili ni tatizo? Kuhusu kitabu kuuzwa Msikiti wa Mtoro na Manyema kwani hairuhusiwi? Mbona kitabu cha Padri Sivalon kikiuzwa Cathedral Bookshop? Tatizo nini ndugu yangu? Kwa taarifa yako kitabu changu kipo kwingi tu. Utakipata TPH, Elite Bookshop, Someni Bookshop, Novel Idea na nje ya misikiti na mikononi mwa wauzaji wadogo wadogo si hayo tu. Kimepewa review katika journal kadhaa Marekani na Ulaya na ni kitabu kinauzika sana. Kimefanyiwa serialisation katika The East African. Kinakwenda toleo la nne.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu msiba hawakuuona?


Watu wengine wanasoma au wanasikiliza bila kujua kuna kitu kinaitwa critical thinking

Kuna hoja mbili kuhusu hili

1.Mohamed ameondoa ushiriki wa watu makusuadi katika historia anayosema ni ya Tanganyika, ingawa mambo yakibana husema ya wazee wake na ikiwa ngumu zaidi husema ya Waislam

Kosa ambalo Kivukoni walifanya kwa kutotambua michango mingine, kwake lina uhalali

2. Historia ina formula, kuieleza au kuiandika kwa mujibu wa matukio na wakati kama ilivyo
Jaribio la ku ''interject'' personal feelings or ideas, historia husota madole ya machoni dhahir shahir

Kwa waliosikiliza video, Mohamed anasema Kleist Sykes aliunda AA na kisha Jamii fil Islamiya 1933. Mohamed hakueleza chochote kuhusu Cecil Matola.

Kumtaja Cecil ni kumtaja Rais wa kwanza na hivyo hoja ya Kleist kuunda AA inakufa.
Katika maandishia anasema, Kleist aliunda kwasababu alikuwa na pesa na mashuhuri.

Mohamed haelezi Cecil Matola alikuwa msomi na 'immunity' dhidi ya Wakoloni kuliko Kleist
Tendo la kutomtaja Matola, historia haikukaa kimya imemnyooshea kidole

3. Mohamed anasema Abdul Aliunda TANU, Nyerere akiwa Rais wa TAA kabla ya 1954.

Kitendo cha kumuondoa Nyerere, historia inamzaba kibao Mohamed.
Huwezi kuwa Rais wa chama asiyejua transformation. Abdul hakuunda TANU, alishiriki

1929 cecil akiunda AA hadi uchaguzi katika miaka ya 1950 Abdul ni takribani miaka 23.
Kleist na Mwanawe Abdul walibaki na uana harakati kwa miaka 23.

Nyerere aliandika katiba ya TANU katika transformation ya chama kuwa ya kisiasa
Akafungua milango UN kwa kutumia usomi, na kupata Uhuru katika miaka 10

Mohamed hasemi hilo, lakini historia inamsuata bila mtu kuandika kitabu kingine

Miaka 23 Kleist na mwanae Abdul Sykes hawakuwa na wazo la kuandika katiba
Wazo amekuja nalo Nyerere. Ndio maana Mohamed hajibu hoja za nani aliandika katiba
Hataki kumsikia Nyerere mtu anayemchukia sana katika dunia hii

Mohamed anasema hotuba ya Nyerere UN iliandikwa na kamati ya watu watano.
Katika hao Mohamed hamtaji Nyerere aki back date kuandikwa kwake.

Historia inamshataki Mohamed, kama hotuba iliandikwa kabla ya Nyerere ni nani aliyetarajiwa kwenda UN?

Historia inasema kama kamati iliandika hotuba, kulikuwa na tatizo gani ikiwa lilikuwa suala la chama?
Kuna shida gani chama kuandika hotuba kubwa kama ya UN na kumkabidhi mhusika!

Mohamed anaingiza hoja kuonyesha Nyerere alisoma tu bila kujua maudhui ili kumdhalilisha.

Historia inamtetea Nyerere. Wakati hotuba inaandikwa yeye ni mmoja wa watu wachache sana waliokuwa na degree katika kiwango cha Master. Alishakuwa exposed katik siasa za dunia

Mohamed anaweza kumdhalilisha Nyerere atakavyo, wanaosoma kwa critical thinking watakuwa na rafiki yao mmoja anayeitwa Historia atakayewasaidia kuchambua chuki na ukweli
 
Huyu Mohamed Said nimemsoma mara nyingi sana, ni mdini sana


Ndio maana kuna mdau pale juu kasema kitabu ni cha kidini, Mohamed kwenye kumjibu kakimbilia jina la mwandishi, kumbe anafahamu anachokifanya

nYaNi wA KaLe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom