Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,734
Hatimaye kitabu cha Profesa Chachage Seithy L. Chachage kuhusu 'Uchambuzi wa Sera, Uongozi na Maslahi ya Watanzania' kimetoka. Ni mkusanyiko wa makala na mada mbalimbali alizoziandika kwa lugha yetu ya Kiswahili.
Kitabu kinapatikana Mkahawa wa Vitabu Soma (Soma Book Cafe) kwa Tsh. 24,000. Tembelea mkahawani ujipatie nakala yako.
Simu: 0673014071
Pepe: somabookcafe@yahoo.com
Ramani: Soma Book Cafe | Burudani Utamaduni Maarifa