mkuu vizuri sana, sasa mimi nina swali, Je ukisha mtumia mtu halafu huyo mtu akaiweka humu janvini na watu wakapata bure itakuwaje? utamshitaki huyo mtu?
Ok mkuu mimi nitakutumia mida hii
Ni wakati wa kujitegemea, kujiajiri na kupata kipato binafsi kwa kufanya ujasiriamali/biashara, sanaa, michezo au jambo lolote lile kwa lengo la kupata pesa. Siyo tena wakati wa kutegemea kuajiriwa tu.., fanya pia shughuli yako/zako binafsi ili kupata kipato binafsi.
Ili uweze kufanya hivyo kwa ufanisi zaidi unahitaji kupata elimu na uelewa husika. Kitabu changu cha Njia na Namna za Kufikia MAFANIKIO YA KIFEDHA kitakupatia elimu na uelewa wa kutosha kuhusu nini ufanye ili ufanikiwe kifedha. Kitabu tayari kiko sokoni tangu mwaka jana, 2011, na waliokisoma wanasema ndiyo kitabu bora zaidi katika vitabu vya ujasiriamali na mafanikio kwa ujumla nchini vilivyo katika lugha ya Kiswahili. Nina uhakika na wewe pia ukikisoma utakubaliana nao.
Sasa, kutokana na uhitaji wa kitabu hiki kuwa mkubwa (hasa kwa watu wa mikoani tofauti na Dar es Salaam) nimeamua kukiuza katika soft copy kwa shilingi elfu nne (4,000/=) tu ili watu wengi waweze kukipata. Kama unakihitaji tuma pesa yako kwa M-Pesa 0758 397557 au Tigo Pesa 0718 174415. Baada ya kutuma utapata nakala yako katika pdf ndani ya masaa 24. Hakuna ulaghai wowote kwani ni mimi mwenyewe Robert C.K nimeamua kuwasaidia wasomaji wangu kwa njia hiyo. Hapa nimekuwekeeni cover tu ya kitabu hicho.
NB: Hakikisha unanitumia jina lako kamili, email yako na namba ya simu uliyotumia kutuma pesa ili niweze kukutumia nakala yako kwa ufasaha. Email yangu ni chazyarobert@gmail.com
Kwanza tafuta njia yoyote ile ututhibitishie kuwa hizo namba za simu ni za mwandishi halisi (original) wa hicho kitabu. Asije akawa mtu mwingine ameweka tu hiyo picha ya cover la kitabu wakati siyo chake halafu utuibie vihela vyetu.
Pili tuthibitishie waziwazi kuwa tukikutumia hela kwa m-pesa na wewe utatuma kitabu. Tusije ingizwa mjini wakati nasi wa mjini kwa kutuma hela halafu kitabu hakuna
ukidownload hiyo picha - cover, zoom kwa kama 200% hivi utaona no. Za simu 0758 397557, 0789 333088 na 0718 174415. Halafu nipigie uhakikishe kama ni mimi au la... We tuma hela hata sasa hv kwa kuwa niko online ntakutumia kitabu leo leo kama siyo sasa hv.
kama vipi tuwekee na picha ya ukurasa wa yaliyomo ili tujue kabla ya kununua ni vitu gani vipo ndani ya kitabu chako.
ok.., yaliyomo:
yaliyomo
sura i: Utangulizi ....................................................... 7
1.1 mafanikio ni nini?................................................... 9
1.2 aina za mafanikio.................................................. 10
1.3 kwa nini mafanikio binafsi kifedha?!........................... 18
1.4 dhana (falsafa) ya mafanikio................................... 21
1.5 fursa na changamoto katika mafanikio....................... 25
sura ii: Kutambua tatizo na uhitaji ............................ 29
2.1 kutambua uhitaji................................................... 29
2.2 vichocheo (motivations) katika kutafuta.................... 34
mafanikio ya kifedha
2.3 hali ya kifedha kwa mtu aliyefanikiwa na
asiyefanikiwa.......................................................... 36
sura iii: Njia na namna za kufikia mafanikio ya
kifedha ............................................................ 39
3.1 aina za mapato na vyanzo vyake.............................. 40
3.2 njia za kupatia pesa – mafanikio ya kifedha ................ 45
sura iv: Kuanza utekelezaji ……………………….......... 65
4.1 nini kinawafanya wengi wasifanikiwe? ...................... 66
4.2 kuwa na maono na kuweka malengo ........................ 74
4.3 namna za kupata mtaji ........................................ 79
nahisi kipo vizuri. Kama nataka hard copy nitakipataje.
kwe maduka ya vitabu posta... scolastica book shop kwa mfano. Mwenge Efatha book shop., pia kwa wauza vitabu kariakoo, posta, mwenge ubungo... Ulizia kitabu cha ujasiriamali cha "MAFANIKIO YA KIFEDHA" cha Robert C.K
sio kwamba napinga ama vipi ila nauliza wewe binafsi umefanikiwa kifedha? umewekeza mahali fulani ama ni muwekezaji maana kama ni hapana then hauna tofauti na walimu wanao tukaririsha vitu mavyuoni ama madarasani..its high time we listened to some one who has been or is financially sound..not just theoriesNi wakati wa kujitegemea, kujiajiri na kupata kipato binafsi kwa kufanya ujasiriamali/biashara, sanaa, michezo au jambo lolote lile kwa lengo la kupata pesa. Siyo tena wakati wa kutegemea kuajiriwa tu.., fanya pia shughuli yako/zako binafsi ili kupata kipato binafsi.
Ili uweze kufanya hivyo kwa ufanisi zaidi unahitaji kupata elimu na uelewa husika. Kitabu changu cha Njia na Namna za Kufikia MAFANIKIO YA KIFEDHA kitakupatia elimu na uelewa wa kutosha kuhusu nini ufanye ili ufanikiwe kifedha. Kitabu tayari kiko sokoni tangu mwaka jana, 2011, na waliokisoma wanasema ndiyo kitabu bora zaidi katika vitabu vya ujasiriamali na mafanikio kwa ujumla nchini vilivyo katika lugha ya Kiswahili. Nina uhakika na wewe pia ukikisoma utakubaliana nao.
Sasa, kutokana na uhitaji wa kitabu hiki kuwa mkubwa (hasa kwa watu wa mikoani tofauti na Dar es Salaam) nimeamua kukiuza katika soft copy kwa shilingi elfu nne (4,000/=) tu ili watu wengi waweze kukipata. Kama unakihitaji tuma pesa yako kwa M-Pesa 0758 397557 au Tigo – Pesa 0718 174415. Baada ya kutuma utapata nakala yako katika pdf ndani ya masaa 24. Hakuna ulaghai wowote kwani ni mimi mwenyewe Robert C.K nimeamua kuwasaidia wasomaji wangu kwa njia hiyo. Hapa nimekuwekeeni cover tu ya kitabu hicho.
NB: Hakikisha unanitumia jina lako kamili, email yako na namba ya simu uliyotumia kutuma pesa ili niweze kukutumia nakala yako kwa ufasaha. Email yangu ni chazyarobert@gmail.com
sio kwamba napinga ama vipi ila nauliza wewe binafsi umefanikiwa kifedha? umewekeza mahali fulani ama ni muwekezaji maana kama ni hapana then hauna tofauti na walimu wanao tukaririsha vitu mavyuoni ama madarasani..its high time we listened to some one who has been or is financially sound..not just theories
namaanisha hivi hayo unayoyafundisha kwenye kitabu na wewe mwenyewe unayafanya ama umeyafanya? na pia umefanikiwa ama? hilo ndo swali langu habari za akina mengi hazihusiki mf..rich dad poor dad yeye ameyapitia na yuko successful..ndo msingi wangu wa swali mkuu...maana huwezfundisha mtu kitu usicho kifanya...it seems unataka uwasikilize akina Mengi na Bakhresa ndo ufanye kama walivyofanya au una maanisha nini..? Ok, subiri basi waandike vitabu vyao uvisome kama unaona vya wengine havitakusaidia..