Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,427 Reaction score 7,851 Apr 15, 2026 #1 Kitabu cha Torati kinachoingia Lebanoni. Katika utamaduni wa Kiyahudi, kila Jumatatu Alhamisi na Shabbat kitabu hicho husomwa. Wanajeshi wa Israel wamekiingiza kitabu hicho ili kiwe kinasomwa!!! Attachments IMG_5328.jpeg 219.8 KB · Views: 12
Kitabu cha Torati kinachoingia Lebanoni. Katika utamaduni wa Kiyahudi, kila Jumatatu Alhamisi na Shabbat kitabu hicho husomwa. Wanajeshi wa Israel wamekiingiza kitabu hicho ili kiwe kinasomwa!!!