nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Inspekta Kombora anaitwa katika hoteli moja jijini Dar
es Salaam ambapo anaonyeshwa mwill wa msichana aliyeuawa kikatili kupita kiasi. Ngozi na nyama ya uso wake mzima na sehemu ya shingo lake imeliwa kwa aina
fulani ya sumu na hivyo kufanya sura yake ibakie fuvu la kutisha. Katika kinywa cha fuvu hile
maandishi uliosomeka: Tunamtaka Joram Kiango.
Salamu ambazo zinamfikia Joram kwa namna nyingine.
Zilifuatiwa na patashika nzito, roho mkononi, huku watu wengi walio na wasio na hatia wakipoteza roho zao. Lakini ni roho ya Joram Kiango ndiyo aliyokuwa anahitajika kwa udi na uvumba. Naye, akijua kuwa anapambana na mbogo waliojeruhiwa, alichukua hadhari zote mithili ya
paka. Hata roho yake pia inabadillka na kuwa "Roho ya paka....
Na. BEN R. MTOBWA
Jipatie kitabu hiki cha kusisimua kwa shilingi 10,000 pamoja na vitabu vingine vingi vya Hayati Ben Mtobwa sasa, unaweza kuvitazama hapa orodha ya vitabu tulivyonavyo. Heko Publisher Ltd
Kwa anayehitaji naomba nipigie kwa 0712504985. Maeneo ambayo vitabu hivi vinapatikana ni Kinondoni, Posta na Arusha.
Karibuni sana....