Martine Tibe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 221
- 160
Wana JF nauliza ninunue kitabu gani cha kozi yangu ya uuguzi na ukunga (Nursing and Midwifery)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio nesi wala mkunga ila ninadhani hiyo program unasoma imegawanywa kwenye courses mbali mbali ambazo kila kozi imeelezewa vizuri kwenye kitabu cha peke yake. Mfano kwenye Pharmacy kuna Pharmacology and Therapeutics, Pharnaceutics, Quality Assurance and Medicine Regulation, Industrial Pharmacy, Pharmacognosy etc na kila mojawapo ina vitabu vyake tena sio kimoja ni vingi
Angalia curriculum ya kozi then utajua ni vitabu gani unahitaji, uliza waliotangulia na walimu wako.

SaaaaafiiiAnatomy and physiology
Royal Marsden manua hand book of nursing
Drug calculation for nurses
Nahitaj diploma & universitiesKama ni midwifery unaweza tumia magreth myles na kwa upande wa leadership unatumia marquez na kuhusu basics nursing tumia palnius Sanga hapa naongelea kwa level ya certificate na diploma
Sent using Jamii Forums mobile app