Kitabu cha fasihi ulichowahi soma ni kipi?

Kitabu cha fasihi ulichowahi soma ni kipi?

The beautiful one are not yet born. Hii novel inaakisi maisha ya viongoz wa africa
 
Barua ndefu kama hii- alieandika simkumbuki na pia sikumbuki kama ni hivi kinaitwa msaada kwa anekikumbuka tafadhali...
 
1. Kusadikika
2. Kufikirika
3. Adili na nduguze

Vyote vya Saaban Robert
 
"The river between" cha Ngugi wa Thiong' ni moto wa kuotea mbali. Pia "I will marry when I want" kama sikosei ni cha Chinua Achebe. Ukimaliza hapo tambaa na "A Man of the People" cha Chinua Achebe, hakika utatamani uhame Tanzania.
ngugi wa thiongo na ngugi wa mirii
 
Back
Top Bottom