Natumai wote mu wazima, samahani nahitaji kujua tittle ya kitabu kizuri cha kutengeneza database kwa kutumia SQL kwa beginners, yaani kwa mtu ambae hajui a wala b ya kudesign database kwa kutumia sql, nitafurahi sana mkinisaidia majina ya hivyo vitabu kwa beginners