joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,981
Hongera mkuu.Core Genius ni kitabu kinachotufundisha jinsi ya kugundua na kutumia kipaji chetu cha kipekee ili kufanikisha maisha yetu binafsi na ya kitaaluma. Joel Nanauka anafafanua kuwa kila mtu anayo “Core Genius,” yaani uwezo wa kipekee ulio ndani yetu ambao, tukiuendeleza, unaweza kutufikisha kwenye viwango vya juu vya mafanikio.
lakini
Nimerealize kwamba kwenye kila aina ya Core Genius kuna kitu ambacho nawiana nacho moja kwa moja au kwa namna fulani.
• Verbal-Linguistic – Nimegundua kuwa na uwezo mzuri wa kutumia maneno kueleza mawazo na kushawishi watu.
• Logical-Mathematical – Napenda kuchambua mambo kwa undani na kutumia mantiki kufanya maamuzi.
• Visual-Spatial – Naweza kufikiri kwa picha na kuelewa vizuri mambo kwa mtazamo wa kuona.
• Bodily-Kinesthetic – Nina uwezo wa kutumia mwili wangu kwa njia inayosaidia katika kufanya mambo kwa ufanisi.
• Musical-Rhythmic – Nimekuwa na uelewa mzuri wa midundo na muziki, hata kama si mtaalamu.
• Interpersonal – Najua jinsi ya kushirikiana na watu, kuelewa hisia zao, na kujenga mahusiano mazuri.
• Intrapersonal – Ninajitambua na kuelewa hisia na malengo yangu binafsi.
• Naturalistic – Ninahisi kuna uhusiano mzuri kati yangu na mazingira ya asili.
Kwa hiyo, nimeona kuwa sina Core Genius moja pekee, bali nimejigundua kuwa na vipengele vingi kwa viwango tofauti.
Sasa je, wataalam wa haya mambo, mna lipi la kuchangia?
Maana kuna muda tunashauriwa kusoma na vitabu vya waandishi wazawa
Yes I am wise even sometimes I feel like I have a generation gap with my age group to the point that I really enjoy talking to elders and people older than meBut are you Wise ?!!!!
Am the Wisest man Alive, for I know that I know Nothing, thus eager to learn everyday as of you.., You might think you have reached your destination thus miss a lot.... i.e. being Hubris
No si kwamba najisifiaDuh mkuu naona unajimegea minyama tu
Hili limekaaje mkuu naomba detail kidogo kuhusuHiyo ni Psychology
The mere feeling of thinking you are wise might make you unwise... Any of your fellow generation mates might be wiser than you if and only if they know their limit, but as of you who fancies oneself to be it...., might be lacking.Yes I am wise even sometimes I feel like I have a generation gap with my age group to the point that I really enjoy talking to elders and people older than me
You can’t have conversations with elders all the time if you are not wise
These are very wise words you have spoken here, butThe mere feeling of thinking you are wise might make you unwise... Any of your fellow generation mates might be wiser than you if and only if they know their limit, but as of you who fancies oneself to be it...., might be lacking.
“On that token, am wiser than you..., for neither of us appears to know anything great and good; but you fancy yourself to know something although you know nothing; whereas I, as I do not know anything, so I do not fancy I do.”
And guess what, I keep on learning thus becoming a better man today than I was yesterday...
Asante sana kakaongeza na cha timiza malengo yangu ni bonge la kitabu hicho kitabu kimenifanya nigundue uwezo wangu upo wapi na nini nifanye ili nifanikiwe kuongeza uwezo wangu yani nakushauri kitafute hicho kitabu na ukiweza uongeza nakitabu cha byran tracy eating that frog
Nakipataje hicho kitabu ? Na sh ngapi?
You do not need to prove anything to anyone but yourself (i.e self satisfaction) but hubris can be a detriment rather than a merit...These are very wise words you have spoken here, but
Let me tell you something—I don’t need to prove to you who I am
Because that would take too much time
I appreciate your contribution, brother.
Thank you so muchYou do not need to prove anything to anyone but yourself (i.e self satisfaction) but hubris can be a detriment rather than a merit...