Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,452
- 34,004
Kitabu kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema, Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.
Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.
Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.
huyu mzee hivyo vipamphlets vyake ampelekea sheikh mwaipopo avinadi kwa umma wa allah na wale panyaroad, mbwa mwitu na chui wa mwaipopo wavitembeze misikitini mzee atapata hela nyingi sana na pia amwalike samuya na mwanae abdul wawe wageni rasmi kwenye kuvizindua ijumaa hii msikitini naamini mzee atapata hela nyingi sana.Ungeenda kuwauzia CCM
Hakikisha kinafika hapa kwenye Msikiti wa Sheikh Mwaipopo, mtetezi wa Allah Samia na kiongozi wa kikundi cha Kigaidi cha Mbwa Mwitu.Kitabu kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema, Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.
Hongera kwa kuendelea kuwapambia wazee wako na na jamii yako ya kiislam huenda wakaelimika.
sheikh mwaipopo shavu dodo anakula tu pesa za watanganyika anazopewa na abdul huku full ulinzi sheikh anavimba mjini zamu ya watu wa allah hii kutambaHakikisha kinafika hapa kwenye Msikiti wa Sheikh Mwaipopo, mtetezi wa Allah Samia na kiongozi wa kikundi cha Kigaidi cha Mbwa Mwitu.
Dallas...Ungeenda kuwauzia CCM
Salari,huyu mzee hivyo vipamphlets vyake ampelekea sheikh mwaipopo avinadi kwa umma wa allah na wale panyaroad, mbwa mwitu na chui wa mwaipopo wavitembeze misikitini mzee atapata hela nyingi sana na pia amwalike samuya na mwanae abdul wawe wageni rasmi kwenye kuvizindua ijumaa hii msikitini naamini mzee atapata hela nyingi sana.
Economist,Shida yako historia yako inaanzia na kuishia Kariakoo
Hata nikipewa bure, siwezi kupoteza muda wangu kusoma kitabu cha author ambaye neutrality kwake is a mission impossible!Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.
Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.
Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.
View attachment 3623969
Pulchra,Hata nikipewa bure, siwezi kupoteza muda wangu kusoma kitabu cha author ambaye neutrality kwake is a mission impossible!
Ahsante.Hongera sana
Na uislamu kwishaaaShida yako historia yako inaanzia na kuishia Kariakoo
Inside10,Na uislamu kwishaaa
Ivi ndo vitabu vya vyuo vikuu?Salari,
Siandiki ''vipeperushi.''
Nina vitabu ngazi ya shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu:
View attachment 3623973
View attachment 3623976
View attachment 3623983View attachment 3623990View attachment 3623994View attachment 3624002
Sawa Mkuu! Kwa hiyo hiki kitabu kitamaliza malalamiko ya kwamba Wazee wa Gerezani hawatajwi kwenye historia ya harakati za uhuru wa Tanganyika?Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.
Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.
Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.
View attachment 3623969
Dallas,Ivi ndo vitabu vya vyuo vikuu?
Kyenju,Sawa Mkuu! Kwa hiyo hiki kitabu kitamaliza malalamiko ya kwamba Wazee wa Gerezani hawatajwi kwenye historia ya harakati za uhuru wa Tanganyika?