Kitaalam simuu ikiishiwa chaji asilimia 50% inabidi kuchaji.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,819
26,180
Unashauriwa usisubiri simu iishe chaji mpaka asilimia ziro ndio uichaji .

Wanashauri simu isipungue asilimia 50.

Tusaidie kushare na marafiki zako.
18f3171b2451cb1a7cb34681e828286f.jpg
 
Mkuu acha upotoshaji
Wataalamu wanasema ukitaka simu ikae na chaji mda mrefu hususani hizi smartphone ni unatakiwa uitumie hadi izime yenyewe yani ukiiwasha isiwake bali ionyeshe alama ya kuhitaj kuchajiwa then iweke kwenye chaji bila kuichomoa hadi ifikie 100% then ichomoe na uanze matumizi hakika utaenjoy pia kumbuka kutumia charger original ya simu husika kama ni samsung tumia charger original ya samsung na sio kutumia charger yoyote . Thanks
 
Don’t charge your phone battery from zero to 100%

The rule with Li-ion batteries is to keep them 50% or more most of the time. When it drops below 50% top it up a little if you can.

A little a few times a day seems to be the optimum to aim for.

But don’t charge it all the way to 100%.It won’t be fatal to your battery if you do a full recharge - most of us are forced to do this every now and again inemergencies.

But constantly doing a full recharge will shorten the battery’slifespan.

So a good range to aim for when charging a Li-ion battery is from about 40% to 80% in one go.

Try not to let the battery drop below 20%.

Source : google.com
 
Kweli...bro
 
Smartphone nyingi zina software ambazo inazuia sim usiishe kabisa charge au ku overcharge. Mfano utakuta battery ina %50 ila wewe inakuonesha % 40. Kwaio sim ikizima bado battery ina %10 ila wewe inakuonesha % 0. Iphone utakuta charge ipo 0 na sim imezima ila ukibonyeza power inawaka taa na kukuonesha alama ya kuchomeka charge. Hii inamaana charge bado ipo ila sim imezima automatically ili kuzuia battery isiishe kabisa. So mambo ya kuweka charge kabla haijazima wewe hautakiwi ku deal nayo.
 
Mimi huwa naiweka chaji kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 11 hasubuhi, sasa unakuta simu ilishakuwa full tangia saa 7 usiku kwa hiyo huo muda unaobaki sijui kama simu itakuwa salama baada ya hapo.
 
Don’t charge your phone battery from zero to 100%

The rule with Li-ion batteries is to keep them 50% or more most of the time. When it drops below 50% top it up a little if you can.

A little a few times a day seems to be the optimum to aim for.

But don’t charge it all the way to 100%.It won’t be fatal to your battery if you do a full recharge - most of us are forced to do this every now and again inemergencies.

But constantly doing a full recharge will shorten the battery’slifespan.

So a good range to aim for when charging a Li-ion battery is from about 40% to 80% in one go.

Try not to let the battery drop below 20%.

Source : google.com
Source ni Google.com?!?! Be specific kaka
 
Hii mada inahusu simu za analog. Hizi za sikuiz zinaprograme ya kuzuia kuover churge na kuover use.
 
Back
Top Bottom