BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Swali zuri sanaNipe hilo deal mkuu, maana kama hufanyi chochote unapataje hiyo m2??? Share please boss.
Swali zuri sanaNipe hilo deal mkuu, maana kama hufanyi chochote unapataje hiyo m2??? Share please boss.
Kimtaji hata cha m2!! Dah inaonekana wewe mambo yako safi, mtaji wa m2 anapataje kwa mfan? msaidie mwenzio maana hiyo m2 unayoizungumzia mwenzio toka kuzaliwa hajawai kuishika.Tafuta kimtaji hata cha m2,anzisha kabiashara, katakusaidia.