kiswahili

Hapo anaangalia vipengele anuwai katika upande wa fani. Mfano: muundo, mtindo, matumizi ya lugha; kama methali, nahau, misemo, kuchanganya msimbo/ndimi, tamathali za semi, wahusika na uhusika, vina na mizani, idhini ya kishairi (poetic license) nk.

Vipengele vyote hivi vikiteuliwa kwa ufundi mkubwa hulifanya shairi livutie na kupendeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…