Kilewa Son Member Joined Feb 8, 2013 Posts 56 Reaction score 7 Sep 19, 2014 #1 Eti kuna tofauti gani katai ya maneno yafuatayo, Ona , tazama na angalia...
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Sep 20, 2014 #2 Yana maana sawa na tofauti katikati ya see,watch na look kwenye lugha ya kiingereza.
Kilewa Son Member Joined Feb 8, 2013 Posts 56 Reaction score 7 Sep 20, 2014 Thread starter #3 nan kasema yanamaana sawa, ww ushawah kusema naenda ku'ona' tv..
R Relativity Member Joined Aug 10, 2014 Posts 60 Reaction score 15 Sep 20, 2014 #4 lakwanza lina herufi tatu,la pili lina herufi sita na la mwisho saba