Kiswahili sasa...

Kiswahili sasa...

Kilewa Son

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
56
Reaction score
7
Eti kuna tofauti gani katai ya maneno yafuatayo,
Ona , tazama na angalia...
 
Yana maana sawa na tofauti katikati ya see,watch na look kwenye lugha ya kiingereza.
 
nan kasema yanamaana sawa, ww ushawah kusema naenda ku'ona' tv..
 
Back
Top Bottom