Mbona kiswahili rahisi sana.Kama hayo magumu haya nayo?
Dada yake baba ni shangazi na mke wa mjomba ni mkazamjomba. Mke wa mtoto wangu ni mkazamwanangu
Siri ya neno hili kuwa gumu midomoni ni kuzoea lugha chafu kiasi kwamba hata neno sanifu tunaelekeza kwenye matusi.Tukirudi shule neno fupi (prefix) MKA maana yake MKE WA...:smile-big:
yah mwanaume akishaoa,maana yake kaoa mke,hiyo ni kwa mila na desturi za waswahili,cause huwa hatuoi wanaume,so huna haja kulazimika kutumia hiyo kauli,we sema kaka zangu wameoa.