Kiswahili language teacher

Kiswahili language teacher

steveson manumbu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
887
Reaction score
178
Habari!

kwa majina naitwa Stephen Mliga, nina shahada ya lugha ya Kiswahili, pia napenda sana kufundisha Kiswahili. Hivyo kwa yeyote mwenye uwezo wa kuniunganisha sehemu yoyote hasa Kenya, Rwanda n.k. nipo tayari kufanya kazi na kujiendeleza na shahada ya pili ya lugha ya Kiswahili nchini Kenya.

Tafadhali, mwenye uwezo wa kunisadia naomba msaada ili niendeleze kipaji changu.

Naomba kuwasilisha.

Asanteni!
 
Back
Top Bottom