Kutumika kama lugha ya mawasiliano kitaifa na kutufanya tuzungumze lugha moja.Kiswahili kimesaidia nini Tanzania?
Jadili 😀😀😀 (marks 5)Kiswahili kimesaidia nini Tanzania?
Jadili (marks 5)
Atakuja mtu mmoja atakwambia shuleni ulienda kusomea ujinga ☺️☺️ maana hujui faida za kiswahili katika taifa lako 😊😊natania tu...Kiswahili kimesaidia nini Tanzania?
Aje atuelezee kwa undani...Atakuja mtu mmoja atakwambia shuleni ulienda kusomea ujinga maana hujui faida za kiswahili katika taifa lako natania tu...
Peace & Love
😊😊☺️☺️Aje atuelezee kwa undani...
Maana kiswahili kimeishia kuongelewa mtaani ofisini ni kingereza...
Hakitambuliki wanalazimisha
Kiharibiwe kabisa, unasoma kiswahili awali mpaka la Saba unakuja kukaririshwa kingereza sekondari..Kiharibiwe tu. Maana chenyewe ndo kinaongoza kutuharibia maisha.
Kabisa, unasoma kiswahili awali mpaka la Saba unakuja kukaririshwa kingereza...
Inafanya watoto wasome kwa kukariri na sio kuelewa..
Ndio maana wasomi wa mchongo wanaongezeka Tz..
Mkuu tuanze kutumia lugha pendekezwa from huu huu Uzi.....Wewe acha tu shida za kiswahili ni nyingi sana. Ukitaja haziishi. Kiswahili kinadidimiza uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja.
Hopeless kabisa kutumia lugha kama hii
Fikiria mtu kasoma degree, ila akiitwa kwenye interview anatokwa jasho tena jembamba...Wewe acha tu shida za kiswahili ni nyingi sana. Ukitaja haziishi. Kiswahili kinadidimiza uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja.
Hopeless kabisa kutumia lugha kama hii
Hao hawana hata proof reader?Miaka ya zamani waandishi wa habari walikuwa wanatumia kiswahili kizuri sana,
Waandishi wa sasa inafika wakati anaandika neno " kusubutu" !! na mhariri anaipitisha!?View attachment 2808431
Sasa mkuu ukisoma Kwa kingereza mpaka degree na huwezi hata kuongea kingereza (Cha kuombea maji) kujielezea wewe kama wewe (mtu binafsi) huo ni ulemavu kama ulemavu mwingine mkuu...Fikiria mtu kasoma degree, ila akiitwa kwenye interview anatokwa jasho tena jembamba...
Vyeti vyake vizuri tu, ila anaogopa kupigwa maswali ya kingereza...
Wengine wanakosa kazi kwakuwa hawajaelewa maswali...
Maana sio lugha aliyoizoea...
Kiswahili kiwe lugha ya mtaani tu, darasani kingereza...
Hiyo lugha ilipendekezwa na nani? Na ilipendekezwa na nani na kwa nini?tuanze kutumia lugha pendekezwa
Kwa nini ushindwe kuongea kiingereza wakati ilitakiwa hadi nyumbani tuwe tunaongea kiingereza na kilugha tu?Sasa mkuu ukisoma Kwa kingereza mpaka degree na huwezi hata kuongea kingereza (Cha kuombea maji) kujielezea wewe kama wewe (mtu binafsi) huo ni ulemavu kama ulemavu mwingine mkuu...