Naomba nieleweshwe matumizi ya 'lakini'.
Nilivyokuwa nafahamu "lakini" ni "but". Sasa hivi linatumika kama "na". Mfano: Fulani alisema kwamba safari imekuwa ndefu lakini mwenzake alisema Safari ndefu imesababishwa na barabara mbovu. ITV ndio mabingwa wa hili.
Je wanavyolitumia ni sawa?