HHakuna kituJPM atamridhisha kila mtu its time now to leave him alone apige kazi.wewe unajua kiswahili?Kuna watu wamekuwa wakijadili umahiri wa Lugha ya Malkia kwa MTUKUFU MHESHIMIWA RAIS DOKTA Magufuli.
Lakini kiukweli tatizo halipo katika Lugha ya malkia bali Lugha kwa ujumla
Ukimsikiliza kiswahili chake sio standard anatafuna maneno na mengine hawezi kuyatamka ana misamihati michache sana ya kiswahili
wataalamu wa linguistic pale BAKITA na TUKI fanyeni kazi yenu
Mungu amegawa vipaji tofauti,kujua lugha ni kipaji ila hata wasio na kipaji wakipigwa msasa wanakuwa na angalau.
Kumbe nawe umeliona hilo? Sasa mleta mada wewe unajua msamiati gani kama neno misamiatu tu unalolalamikia unalitamka MSAMIHATI, aibu!Ni misamiati bro, sio MISAMIHATI
Sie watu wapwani tukisikia mtu anaongea vile tunaona anatuharibia lugha yetu na tunasema huyu anaongea nini tunatamani kuzima luninga au redio kwa hiyo ujumbe unaweza usimfikie mlengwaSikiliza yaliyomo kwenye ujumbe usisikilize utamu wa lugha, kuna wenye lugha muafaka na pumba wanazotoa unaona aibu wewe msikilizaji. mdukuzi
Asante kwa marekebisho hata hivyo mimi ni kiumbe mdogo kama sisimizi hata nikikosea haina madhara kwa Taifa ila Ttukufu ni mkuu kama Goliath lazima kila afanyalo liwe kamilifu na lenye utukufu mbele ya hadharaNi misamiati bro, sio MISAMIHATI
Manji na wazazi wake wote wamezaliwa Tanzania lakini sikiliza kiswahili chake, hata hiyo ya Magafuli ni mother tongue.Lugha ya taifa ndio lugha pekee ya kujidai nadhani ameathiriwa na mother tongue
Hakuna binadam awezaye kufany mamb yte kamilifu, hiyo ndo nature ya ubinadamAsante kwa marekebisho hata hivyo mimi ni kiumbe mdogo kama sisimizi hata nikikosea haina madhara kwa Taifa ila Ttukufu ni mkuu kama Goliath lazima kila afanyalo liwe kamilifu na lenye utukufu mbele ya hadhara
Raid hupimwa kwa alicholifanyia taifa lakeRais hapimwi kwa umahiri wa lugha. Hapa Kazi Tu