Wengi hujifanya tu sio kuwa lugha zao za asili zinakosa R. Imekuwa mbwembwe siku hizi watu kusema l badala ya r. Hali kama hii katika kusema sio tatizo kwani ni mambo ya kupita, tatizo linakuja pale watu wanapoendekeza tabia mpka kujisahau katika maandishi, kama inavyotekea sasa katika maandishi ya mkato (bac, m2, ctaki n.k) yanayotumika katika sms na kuletwa katika maandishi rasmi.