KISUTU: Tido Mhando akutwa na kesi ya kujibu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa (TBC), Tido Mhando katika kesi yake ya matumizi mabaya ya madaraka

Tido anatuhumiwa pia kuisababishia serikali hasara ya Milioni 887.1 ambapo ataanza kujitetea September 20.
I feel sorry for him
 
Akikutwa na hatia apewe shuruba haswa na viboko kila mwishoni mwa week.Mzee Tido ndio chanzo serikali kuingia mikataba mibovu na star media mpaka sasa naandika uzi huu jamaa wamefanya kamgomo baridi kuna baadhi ya watumiaji wa ving'amuzi hawapati free channel.
Kwani serikali ya kipindi hicho ilikuwa imepigwa ganzi haikuona? Unaikumbuka Kesi ya Mahalu? Jiongeze hata hii inarufu ya kwenda huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akikutwa na hatia apewe shuruba haswa na viboko kila mwishoni mwa week.Mzee Tido ndio chanzo serikali kuingia mikataba mibovu na star media mpaka sasa naandika uzi huu jamaa wamefanya kamgomo baridi kuna baadhi ya watumiaji wa ving'amuzi hawapati free channel.
Aisee
 
Manojadili hapa kwa kumlaumu na wengine kumtetea huku mkikejeliana mnaelewa undani wa kesi yake?
 
Akikutwa na hatia apewe shuruba haswa na viboko kila mwishoni mwa week.Mzee Tido ndio chanzo serikali kuingia mikataba mibovu na star media mpaka sasa naandika uzi huu jamaa wamefanya kamgomo baridi kuna baadhi ya watumiaji wa ving'amuzi hawapati free channel.
Lakini akina chenge ngeleja tibaijuka lowasa wanakula Tu supu mtaani ndo maana watu wa sirikali kila siku wanatamani vyeo vikubwa ili wajitakase zaidi ata wakipumnzika washakuwa watakatifu
 
Akikutwa na hatia apewe shuruba haswa na viboko kila mwishoni mwa week.Mzee Tido ndio chanzo serikali kuingia mikataba mibovu na star media mpaka sasa naandika uzi huu jamaa wamefanya kamgomo baridi kuna baadhi ya watumiaji wa ving'amuzi hawapati free channel.

Mkuu:
Ni vyema ungefahamu undani wa kadhia hii. Bw. Tido Mhando kwa kweli amefanya kwa nia njema kabisa ktk utekelezaji wa majukumu yake.
Suala la Free to Air Channels, kuna mgogoro unaendelea kati ya TCRA na makampuni ya TV. Hilo ni ktk kutekeleza hitaji la serikali na mwenye dhamana hiyo ni TCRA na si TBC.
 
Back
Top Bottom