Kwakila Jambo lina Malipo yake kwa Nyakati na Wakati! Ngoja wanaojifanya Mawe Uje Ufike Wakati! Malipo yapo tu.Shetani ukimfanyia kazi hakuachi hivi hivi
atakupa zawadi yako.uongoShetani ukimfanyia kazi hakuachi hivi hivi
kipindi cha mchakato majimboni visasi mpaka leo !Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa (TBC), Tido Mhando katika kesi yake ya matumizi mabaya ya madaraka
Tido anatuhumiwa pia kuisababishia serikali hasara ya Milioni 887.1 ambapo ataanza kujitetea September 20.
aiseeeee !!!Shetani ukimfanyia kazi hakuachi hivi hivi
Chenge, ngeleja, tibaijuka n.k. wananyonya tu maziwa ya ng'ombe bila kukamua
Inasikitisha sana, wanaostahili kushtakiwa wanaachwa.....hii inaondoa uzalendo kwa wananchiRamadhani Dau anakula maisha ugaibuni
Weka ushahidi wa Clip ikimuonyesha aanakula maisha ughaibuni kamanda..Ramadhani Dau anakula maisha ugaibuni
Hakuna lolote!Shetani ukimfanyia kazi hakuachi hivi hivi