KISUTU: Tido Mhando akutwa na kesi ya kujibu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,396
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa (TBC), Tido Mhando katika kesi yake ya matumizi mabaya ya madaraka

Tido anatuhumiwa pia kuisababishia serikali hasara ya Milioni 887.1 ambapo ataanza kujitetea September 20.
 
Akikutwa na hatia apewe shuruba haswa na viboko kila mwishoni mwa week.Mzee Tido ndio chanzo serikali kuingia mikataba mibovu na star media mpaka sasa naandika uzi huu jamaa wamefanya kamgomo baridi kuna baadhi ya watumiaji wa ving'amuzi hawapati free channel.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom