Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,810
- 11,977
Kesi namba 457 inayoikabili JamiiForums imeahirishwa hadi Oktoba 17, 2017 baada ya Wakili wa Jamhuri, Nasoro Katuga kuiambia Mahakama kuwa Mawakili waliokuwa wakiendesha kesi hii (Kishenyi na Kadushi) wana kesi nyingine.
Aidha, upande wa Jamhuri umedai kuwa bado hawajamuandaa shahidi na haukuwa na faili la kesi yenyewe.
Kuhusiana na kesi hii, soma: Kesi dhidi ya JamiiForums: Shahidi adai Polisi hawana utaalamu wa kulazimisha kuingilia mawasiliano kimtandao