Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,502
- 1,047
KFC at United mall in Kisumu.Rock city mall area:71,990m²
Hakuna mall yoyote kisumu kama hiiView attachment 1148131View attachment 1148132
KFC at United mall in Kisumu.Rock city mall area:71,990m²
Hakuna mall yoyote kisumu kama hiiView attachment 1148131View attachment 1148132
HayaMAMBO MACHACHE NA MUHIMU YA KUFAHAMU KUHUSU ROCK CITY MALL MWANZA.
BINAGI MEDIA GROUPwww.bmgblog.co.tz
East Africa gani hio unaongelea wewe.Hapa ndo nimejua hauko serious wewe. Rock city Mall is the biggest one in East Africa sembuse ulinganishe na hiyo uchafu yako ya Kisumu.
Umefika kwa hio mall ama unaiskia tu. Believe me, mkenya akikuambia Mall ni kubwa ujue ni kubwa kuliko mall zote TZ. Kisumu has like 9 different Malls but hii ya Lake basin ni kubwa. Further more, we have the biggest Malls in the region.Kwahiyo hii kwako ndio mall kubwa kuliko zote Tanzania? Pathetic.
Haya..na wewe niletee list ya universities and colledges in mwanza...Tuanzie hapa...,niletee hizo universities za kisumu..
Umefika kwa hio mall ama unaiskia tu. Believe me, mkenya akikuambia Mall ni kubwa ujue ni kubwa kuliko mall zote TZ. Kisumu has like 9 different Malls but hii ya Lake basin ni kubwa. Further more, we have the biggest Malls in the region.
HayaMAMBO MACHACHE NA MUHIMU YA KUFAHAMU KUHUSU ROCK CITY MALL MWANZA.
BINAGI MEDIA GROUPwww.bmgblog.co.tz
Mbona unanitupia mpira tena...mmesema mnazo kibao haya leta...not campuses I need universities within kisumuHaya..na wewe niletee list ya universities and colledges in mwanza...Universities and Colleges in Kisumu County in Nyanza Province | Study in Kenya
List of Private and Public Universities, Local Colleges and Campuses in Kisumu County in Nyanza Province in Kenyastudyinkenya.co.ke
Umekubali kiaina...hakuna kama rockcity kisumu jomba....Let leave Lake Basin Mall na Rock City mall pending, now show us another mall.
I just don't want to argue.Umekubali kiaina...hakuna kama rockcity kisumu jomba....
Umekubali kiaina...hakuna kama rockcity kisumu jomba....
Unajua ni kweli ndo maana hutaki kubisha..I just don't want to argue.
Bring mwanza's.Kenya alone has more schools than ug & tz combinedMbona unanitupia mpira tena...mmesema mnazo kibao haya leta...not campuses I need universities within kisumu
Tunazungumzia kisumu na Mwanza... Umevurugwa?Bring mwanza's.Kenya alone has more schools than ug & tz combined
I know .Kazi yako kuamrisha watu. Hebu lete vyuo vya mwanza.Tunazungumzia kisumu na Mwanza... Umevurugwa?
Ghana shopping mallShow us another mall now.
Naleta...ww usiweke campuses na collegesI know .Kazi yako kuamrisha watu. Hebu lete vyuo vya mwanza.
Vya Kisumu hivi hapa;
Maseno University
Jaramogi Oginga Odinga University of Science and Technology (JOOUST)
Great Lakes University
University of Nairobi-Kisumu Campus
Catholic University of East Africa-Kisumu Campus
Daystar University-Kisumu campus
Ramogi Institute of Advanced Technology (RIAT)
Tom Mboya Labour College
DALC Education Kisumu Campus
Amani Counselling Centre and Training Institute Kisumu
Nairobi Aviation College, Kisumu Branch
Intraglobal Training Institute, Kisumu
International School of Medicine and Technology
Foundation Institute of Africa
African Institute of Research and Development Studies, Kisumu City Campus
KCA University-Kisumu campus
Kisumu Industrial Training Centre
Western College of Hospitality and Professional Studies
Kisumu Polytechnic
International School of Medicine and Applied Technology
Kenya College of Accountancy
Lake Institute of Tropical Medicine
X-elle School of Hair Design & Beauty
La-Von School of Hair and Beauty
Sigotop Career Development College
Ivory Tower Institute
Elros Investments Mamboleo
SawA. Ondoa campuses, hesabu hizo zingineNaleta...ww usiweke campuses na colleges
Ndo uzilete sasa...sasa mi ntajuaje hii ni campus au collegeSawA. Ondoa campuses, hesabu hizo zingine
Ghana shopping mall